Azamtv kuzinduliwa rasmi agosti mosi 2013. Chanzo:Gazeti la Tanzania Daima la Jumamosi,Julai 20,2013.
ngoja nisearch azam tv kwenye king'amuzi changu hapa!!!!!
eti ameshinda tenda hata tv yenyewe ipo kwenye makaratasi???
natamani kuona mtanzania huyu mfanyabiashara mzuri anafanikiwa kwenye hili suala hapa tz.