Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,988
Wanabodi leo usiku nmeona kitu cha tofauti sana kwenye king'amuzi cha AZAM, picha zinakuwa nyekundu sometimes inakata kunakuwa hakuna mawasiliano vipi wenzangu mmekumbana na kadhia hii kama Mimi?
Maana mwanzoni nilijua tv yangu imeharibika lkn nilipoweka king'amuzi cha DStv na Star times hakukuwa na tatizo, nikaamua niweke flash bado ikapiga bila kuzima naombeni mrejesho toka kwenu wadau kama kuna yeyote kakutana na kadhia hii
Sent using Jamii Forums mobile app