Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,063
Wana bodi nasikitika kwa hiki king'amuzi cha Azam Tv kwa kushindwa kuvumila hali ya hewa ya tanzania maana hata yakija mawingu tu utalazimika kuangalia picha mgando tu na kwa kipindi hiki cha mvua kwa hapa DSM ndio kabisa wengine taarifa tunazipata kupitia JF.
Wito kwa azam tv mrekebishe hii kasoro vinginevyo wakati wa masika tuwe hatulipi
Wito kwa azam tv mrekebishe hii kasoro vinginevyo wakati wa masika tuwe hatulipi