Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,596 Reaction score 1,865 Jan 10, 2017 #21 Azam hawez kuwa juu kwasababu yuko kwenye king'amuzi chake tuu na pia ni wajuzi tuu, hivyo ni kos ku mshindanisha na ITV baba lao
Azam hawez kuwa juu kwasababu yuko kwenye king'amuzi chake tuu na pia ni wajuzi tuu, hivyo ni kos ku mshindanisha na ITV baba lao
N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,268 Reaction score 12,688 Jan 11, 2017 Thread starter #22 Bakulutu said: Azam hawez kuwa juu kwasababu yuko kwenye king'amuzi chake tuu na pia ni wajuzi tuu, hivyo ni kos ku mshindanisha na ITV baba lao Click to expand... Ajiunge ving'amuzi vingine maana tv zinakuja kwa kasi sana kuna hii tvE inaonekana itaongeza ushindani tv1 nasikia itakuwa ni full michezo chini ya investor mpya,nk nk unless kama hana target ya kuexpand anataka auze ving'amuzi tu
Bakulutu said: Azam hawez kuwa juu kwasababu yuko kwenye king'amuzi chake tuu na pia ni wajuzi tuu, hivyo ni kos ku mshindanisha na ITV baba lao Click to expand... Ajiunge ving'amuzi vingine maana tv zinakuja kwa kasi sana kuna hii tvE inaonekana itaongeza ushindani tv1 nasikia itakuwa ni full michezo chini ya investor mpya,nk nk unless kama hana target ya kuexpand anataka auze ving'amuzi tu