Azam tv kuanza kuonyesha Carabao cup
Tate Mkuu JF-Expert Member Jan 24, 2019 4,728 2,000 Aug 27, 2019 #2 Rudisheni na zile channel nyingine badala ya kuturudishia za ccm tu na yule mshirika wao Clouds. Siyo vizuri kuingiza siasa kwenye masuala ya kitaalamu.
Rudisheni na zile channel nyingine badala ya kuturudishia za ccm tu na yule mshirika wao Clouds. Siyo vizuri kuingiza siasa kwenye masuala ya kitaalamu.