Azam TV kipindindi cha mvua

The Listener

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
993
Reaction score
217
Mimi ni mteja wa AZAM TV sasa ni mwezi wa pili. Sina uhakika kama tatizo ninalolipata linawapata wateja wengine wa AZAM TV.

Suala ni kwamba mvua ikinyesha kidogo tu basi ianakatakata na wakati mwingine haionyeshi kabisa. decoder inakuwa inablink (sehemu ya kijani).

Wasiwasi wangu ni kuwa kama hili ni tatizo basi wakati wa masika itakuwa shida.

I hope jamaa wa AZAM wanalitazama hili kwa jicho la kipekee kabisa kwani nadhani pia wananchi wengi wameipokea kampuni hii kama mkombozi hasa katika gharama

This is my observation
 
Nunua DISH Kubwa!

Ni kweli kabisa, kila dish linakuwa na limit ya kupata %quality na hii sio tu kwa Azam tv hata DSTV pia huwa inasumbua wakati wa mvua, sasa hii quality ya Azam tv ipo 37% ktk receiver zao bado ni ndogo sana ila ngoja wataalam wakina Arselona watusaidie.
 
Last edited by a moderator:
ukitembelea hapa wanatoa maelezo
FAQs » AzamTV



 
Jana kuna fundi ameniongezea signal kwenye AZAM TV imesaidia kupunguza tatizo.
 
pole kwa tatizo hilo kaka,kwa ninavyofaham mimi,ukipata fundi mzuri na sehemu anayoifungia hiyo dishi ni nzuri au amei design vizuri,inatakiwa signal ifike 50%,hapo hutopata tatizo hilo,japokuwa signal ya 32% ni clear lakini wakati wa hali ya mvua tatizo litajitokeza,pole ndugu yangu
 
Signal 50%una cheza hiyo ni kidogo sana!! Ukitaka tatizo hilo lisiwepo kamwe kama a kiweze akafikisha signal 80%,basi umemaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…