comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 8,212 Reaction score 16,433 Aug 19, 2025 #1 Niko naangalia la liga hapa ñaona kama inascratch inaleta mawimbi, na hata mchana niliona kwenye MECHI ya al nassr Hilo tatizo, lakini za CHAN hazina shida. Ni king'amuzi changu au kuna mwingne kaliona Hilo?
Niko naangalia la liga hapa ñaona kama inascratch inaleta mawimbi, na hata mchana niliona kwenye MECHI ya al nassr Hilo tatizo, lakini za CHAN hazina shida. Ni king'amuzi changu au kuna mwingne kaliona Hilo?
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 7,591 Reaction score 23,270 Aug 19, 2025 #2 Anataka kuwa kama starsat
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 8,212 Reaction score 16,433 Aug 19, 2025 Thread starter #3 Wagumu Tunadumu said: Anataka kuwa kama starsat Click to expand... Na kwako umeona ?
K kabwe katal JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 264 Reaction score 288 Aug 20, 2025 #4 Ni kweli kina shida kwa channel za nje.inabidi wataalam wao wafanyie kazi mimi mwanzo nilidhani Tv yangu ni mbovu.
Ni kweli kina shida kwa channel za nje.inabidi wataalam wao wafanyie kazi mimi mwanzo nilidhani Tv yangu ni mbovu.
Adolfms JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 937 Reaction score 1,347 Aug 21, 2025 #5 Mimi nilidhani ni poor signal
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,135 Reaction score 24,540 Aug 21, 2025 #6 Yule HILDA PHOE yupo poa sana