Ligi ya vodacom ni ipi hiyo?
Walichofanya Azam TV ndicho nawe umekifanya.Sasa hivi kuna mechi ya ligi ya vodacom.
Singida Big Stars imebadilisha jina sasa hivi ni Singida Fountain Gate. Azam bado wanaandika SBS ikimaanisha Singida Big Stars, na sio Singida Fountain Gate. Ni bahati mbaya au bora liende?
Unailaumu Azam haya wewe hii ligi ya Vodacom umeitoa wapi au unaunga mkono makusudi ya Azam?Sasa hivi kuna mechi ya ligi ya vodacom.
Singida Big Stars imebadilisha jina sasa hivi ni Singida Fountain Gate. Azam bado wanaandika SBS ikimaanisha Singida Big Stars, na sio Singida Fountain Gate. Ni bahati mbaya au bora liende?
HahahahahaWalichofanya Azam TV ndicho nawe umekifanya.
Kosa la kiufundi.
Ligi ni ya NBC na sio ya Vodacom.
Ni kizunguzungu tu hapa. Nilimsikia msemaji wa TFF siku moja baada ya mechi ya AIBU kati ya Azam na Kitayose akimtaka mwandishi azungumzie timu ipi kati ya Kitayose ama Tabora United.Kitayosce walionesha hadi cheti kutoka BMT cha kubadili jina na kuwa Tabora United , lakini Azam TV, mashabiki na waandishi wa habari bado wanasema ni Kitayosce.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Haya mambo yako juu ya uwezo wako wa kuelewa na kufikiri hivyo baki kuangalia mechi tu mengine kamwe huyawezi!Sasa hivi kuna mechi ya ligi Kuu ya NBC.
Singida Big Stars imebadilisha jina sasa hivi ni Singida Fountain Gate. Azam bado wanaandika SBS ikimaanisha Singida Big Stars, na sio Singida Fountain Gate.
Ni bahati mbaya au bora liende?
Wabongo kitu tunachoweza ni kulalamikaSasa hivi kuna mechi ya ligi Kuu ya NBC.
Singida Big Stars imebadilisha jina sasa hivi ni Singida Fountain Gate. Azam bado wanaandika SBS ikimaanisha Singida Big Stars, na sio Singida Fountain Gate.
Ni bahati mbaya au bora liende?
Kama Kitayosce badala ya Tabora Utd.Sasa hivi kuna mechi ya ligi Kuu ya NBC.
Singida Big Stars imebadilisha jina sasa hivi ni Singida Fountain Gate. Azam bado wanaandika SBS ikimaanisha Singida Big Stars, na sio Singida Fountain Gate.
Ni bahati mbaya au bora liende?