Ramon Abbas JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 1,961 Reaction score 3,921 Sep 17, 2021 Thread starter #2 0678604333 mawasiliano
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 7,538 Reaction score 11,805 Sep 18, 2021 #3 Simba Forever said: View attachment 1942170View attachment 1942171 Click to expand... Ukinunua kipya ni tsh 210,000 + kifurushi kikubwa (28,000) kwa miezi mitatu. Kwahiyo 210,000 - 84,000 = 126,000 bila kifurushi. Chako ( used) ulipaswa kukiuza angalau 100k
Simba Forever said: View attachment 1942170View attachment 1942171 Click to expand... Ukinunua kipya ni tsh 210,000 + kifurushi kikubwa (28,000) kwa miezi mitatu. Kwahiyo 210,000 - 84,000 = 126,000 bila kifurushi. Chako ( used) ulipaswa kukiuza angalau 100k
mohamedidrisa789 JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 5,613 Reaction score 23,745 Sep 18, 2021 #4 Mbona unauza bei ndogo sana au cha wizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unauza bei ndogo sana au cha wizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,878 Sep 22, 2021 #5 tracebongo said: Ukinunua kipya ni tsh 210,000 + kifurushi kikubwa (28,000) kwa miezi mitatu. Kwahiyo 210,000 - 84,000 = 126,000 bila kifurushi. Chako ( used) ulipaswa kukiuza angalau 100k Click to expand... True
tracebongo said: Ukinunua kipya ni tsh 210,000 + kifurushi kikubwa (28,000) kwa miezi mitatu. Kwahiyo 210,000 - 84,000 = 126,000 bila kifurushi. Chako ( used) ulipaswa kukiuza angalau 100k Click to expand... True
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,808 Reaction score 61,671 Sep 22, 2021 #6 tracebongo said: Ukinunua kipya ni tsh 210,000 + kifurushi kikubwa (28,000) kwa miezi mitatu. Kwahiyo 210,000 - 84,000 = 126,000 bila kifurushi. Chako ( used) ulipaswa kukiuza angalau 100k Click to expand... mahesabu mazuri, lakini kuna hoja hapa kama azam wangeweka kifurushi kikubwa kwa miezi 8, 210,000 - 224000 = -14000 so jamaa akitaka kukiuza akitoe BURE na adaiwe 14000 au vipi ?
tracebongo said: Ukinunua kipya ni tsh 210,000 + kifurushi kikubwa (28,000) kwa miezi mitatu. Kwahiyo 210,000 - 84,000 = 126,000 bila kifurushi. Chako ( used) ulipaswa kukiuza angalau 100k Click to expand... mahesabu mazuri, lakini kuna hoja hapa kama azam wangeweka kifurushi kikubwa kwa miezi 8, 210,000 - 224000 = -14000 so jamaa akitaka kukiuza akitoe BURE na adaiwe 14000 au vipi ?
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 20,020 Reaction score 41,425 Sep 22, 2021 #7 tracebongo said: Ukinunua kipya ni tsh 210,000 + kifurushi kikubwa (28,000) kwa miezi mitatu. Kwahiyo 210,000 - 84,000 = 126,000 bila kifurushi. Chako ( used) ulipaswa kukiuza angalau 100k Click to expand... Muuzaji akiwa na shida ya laki Moja anicheki nimsaidie......hicho kisimbuzi nikitoe donation....
tracebongo said: Ukinunua kipya ni tsh 210,000 + kifurushi kikubwa (28,000) kwa miezi mitatu. Kwahiyo 210,000 - 84,000 = 126,000 bila kifurushi. Chako ( used) ulipaswa kukiuza angalau 100k Click to expand... Muuzaji akiwa na shida ya laki Moja anicheki nimsaidie......hicho kisimbuzi nikitoe donation....