Azam telecom ni fire 🔥 tigo byee byee

Mbeya imefika ,ila wanaanza ivyo ivyo hafu wanabadilika ,siku zijazo,
 
Mleta mada Acha kupotosha watu,hiyo picha ya vifurushi hata haihusiani na hao Azam,na ni picha ya kuedit imeondolewa 0 moja kwenye hizo bei,na ni picha ya Muda Sana ilikuwa ikisambaa huko Twitter.
Kalete kutoka twitter basi
 
, azam tangu lini ka invest kwenye telecommunications bongo. Iyo ni kwa ajili ya malipo ya bidhaa zake, mfano kingamuzi, wanunuzi wa sarafu.

Napendekeza uzi ufutwe
 
Kama si uswalihina wa Bakhresa hawa jamaa wangeshaanzisha kiwanda cha bia saa hizi tungekuwa tunalewa Azzam lager kwa jerojero tu.
Ni jambo zuri kwa azam kutokuuza vitu vya haramu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…