MrKanteChelsea
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 655
- 823
Si shabiki wa ligi hii ya hapa nchini ila naishi na watazamaji wa hiyo ligi.
Kila ikifika mechi za timu ndogo hakuna watangazaji ila Simba ama Yanga wakiwepo hapo wapo sasa kuna maana ipi ya kurusha hizo mechi kama hamuwezi kuweka watangazaji.
Au ndio soka letu kivyetu vyetu maana hata kuwashauri wanaojenga viwanja kufunga taa za kueleweka mmeshindwa picha Aperture ipo chini balaa.