Azam pay tv, si waungwana

Azam pay tv, si waungwana

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,950
Reaction score
6,981
Awali ya yote, naomba nitoe pole ya dhati kwa msiba mzito uliowakumba Azam Media. Ni wazi mmepata pigo na familia zao ndo zina maamivu yasiyomithilika.

Hata hivyo, nasikitika kuwajulisha kuwa, musiba huu, umewafanya kuonekana mnauza huduma zenu wakati huo mkitaka wateja wasubiri hulka zenu.

Hivi ni sababu gani imepelekea kusitisha matangazo kwenye UTV yenu? Mtasema ni kuomboleza. Sawa nakubali. Hivi maombolezo hayo, yanaathiriwa na mpira pekee? Wakati mmezuia mpira kwenye utv, bado tamthilia na filamu vinaendelea. Nimeshindwa kuwaelewa.

Mbaya zaidi, mashirika ya mataifa jirani kama UBC, KBC, RWANDA TV, ambayo mtu akilipa cha 10,000/- anapata matangazo yao na walitangaza kuonesha mechi zote, kitendo chenu cha kuwazimia wkt wa mipira na kutuandikia *"Chanel restricted ", halafu baada ya mipira Chanel kuonekana, si uungwana hata kidogo. Tumelipia tuone si kuzuiwa kisa misiba. Wengi tumefiwa na kilevi chetu mpira.

Halafu mlivyo wabinafsi, hadi huduma kwa mteja mmezuia kabisa.

Nyie watu gani? Mnaboa
 
Ni udhaifu akifa bos wao sindio watafunga mwaka
 
Wehu sana hawa. King'amuzi changu kikiisha salio natupa kule. Kwanini wazime na Chanel nyingine? Wapuuzi sana hawa Azam. Tumelipia 28 elfu tuangalie mpira wao wanazima channels. Kama hawana kibali waseme tuhamie DSTV. Kero kweli hawa viumbe.
 
wapuuzi sana hawa yani mipira ya kipumbavu kama cecafa wanaonesha, tamthilia za kijing wanaonesha lkn utv wanapiga taswida tu afu mda wahabar wanaweka yan ni wapuuzi sana m swez kuendea nao nard dstv
 
Wehu sana hawa. King'amuzi changu kikiisha dalio natupa kule. Kwanini wazime na Chanel nyingine? Wapuuzi sana hawa Azam. Tumelipia 28 elfu tuangalie mpira wao wanazima channels. Kama hawana kibali waseme tuhamie DSTV. Kero kweli hawa viumbe.

Dstv nao ikifika wkt wa mechi wanakata Kbc na RTV maana zinaonyesha mechi hizi ila baada ya mechi wanarudisha hizo channel hewani.
 
Wanaomboleza sasa hivi
Awali ya yote, naomba nitoe pole ya dhati kwa msiba mzito uliowakumba Azam Media. Ni wazi mmepata pigo na familia zao ndo zina maamivu yasiyomithilika.

Hata hivyo, nasikitika kuwajulisha kuwa, musiba huu, umewafanya kuonekana mnauza huduma zenu wakati huo mkitaka wateja wasubiri hulka zenu.

Hivi ni sababu gani imepelekea kusitisha matangazo kwenye UTV yenu? Mtasema ni kuomboleza. Sawa nakubali. Hivi maombolezo hayo, yanaathiriwa na mpira pekee? Wakati mmezuia mpira kwenye utv, bado tamthilia na filamu vinaendelea. Nimeshindwa kuwaelewa.

Mbaya zaidi, mashirika ya mataifa jirani kama UBC, KBC, RWANDA TV, ambayo mtu akilipa cha 10,000/- anapata matangazo yao na walitangaza kuonesha mechi zote, kitendo chenu cha kuwazimia wkt wa mipira na kutuandikia *"Chanel restricted ", halafu baada ya mipira Chanel kuonekana, si uungwana hata kidogo. Tumelipia tuone si kuzuiwa kisa misiba. Wengi tumefiwa na kilevi chetu mpira.

Halafu mlivyo wabinafsi, hadi huduma kwa mteja mmezuia kabisa.

Nyie watu gani? Mnaboa
 
Kwa kweli maombolezo ya ndugu zetu wa AZAM TV yangekuwa makubwa na yangewagusa wengi kama yangeingizwa katika mechi za AFCON. Picha za waliofariki zingeonekana na watu wengi zaidi na pia wakati wa kuangalia mechi watu wengi wangeshiriki katika maombolezo haya.
Kama TIMU yetu ya Taifa ingeshinda basi wakati wanacheza mechi wangefunga vitambaa vyeusi mkononi . Ingekuwa kituko Kimataifa Timu yetu ingejitoa kuendelea na michezo kwa sababu ya msiba.
Tumeisha kuona ndege za mashirika mbali mbali kuanguka na kuua wafanyakazi wote na abiria wote lakini huduma za shirika husika huendelea kutoa huduma kwa wateja.
AZAM TV walichofanya ni kuvunja mkataba na wateja wao na wanahaki ya kushitakiwa.
Ndugu na jamaa hawawezi kuacha kuangalia TV sababu tu wamefiwa. Kuangalia TV INAMSAIDIA mfiwa kufarijika.
Tunawaomba AZAM TV kufidia siku ambazo hawakurusha matangazo kwa wateja wao ili kuweka mkataba sawa.
 
Binafsi nafikiri tusiourupuke kuwalaumu kabla ya kujua ukweli ni vyema kuwapa nafasi.
Je walitangaza wataonyesha AFCON Yote?
Je unajua haki miliki ya kuonyesha AFCON East Africa alipewa nani?
Je unajua kibali cha kuonyesha kapeea na nani na aonyeshe mpaka hatua gani?
Je unadhani CAF waliiweka AFCON as FTA mpaka hatua gani?
Naamini kungekuwa na Shida ya ki- technical, Lazima wangetoa Taarifa ya kutuomba radhi.
 
Mi kinachonishangaza wako kimya yaani tunaishia kujiuliza na kujijibu wenyewe. Daaah.

Wangetuweka wazi sababu si kwa mbwembwe zile kabla AFCON haijaanza.
 
Wehu sana hawa. King'amuzi changu kikiisha salio natupa kule. Kwanini wazime na Chanel nyingine? Wapuuzi sana hawa Azam. Tumelipia 28 elfu tuangalie mpira wao wanazima channels. Kama hawana kibali waseme tuhamie DSTV. Kero kweli hawa viumbe.
Naangalia mechi zote DSTV kwa elfu kumi na tisa tu( 19000)
 
Binafsi nafikiri tusiourupuke kuwalaumu kabla ya kujua ukweli ni vyema kuwapa nafasi.
Je walitangaza wataonyesha AFCON Yote?
Je unajua haki miliki ya kuonyesha AFCON East Africa alipewa nani?
Je unajua kibali cha kuonyesha kapeea na nani na aonyeshe mpaka hatua gani?
Je unadhani CAF waliiweka AFCON as FTA mpaka hatua gani?
Naamini kungekuwa na Shida ya ki- technical, Lazima wangetoa Taarifa ya kutuomba radhi.
wewe nawe umekuja na maswali ya kipuuzi sijui km umemuelewa mtoa maada.

Azam wanaziblock channel kama KBC, UBC na Rwanda TV unapofika muda wa mpira, walikuwa wanalifanya hilo toka zamani ili watu wote mkimbilie UTV kuangalia mpira.

Haya wamepata matatizo Channel yao ya UTV haioneshi mpira, kwanini waendelee kuziblock hizo channel zingine ambazo zinaosha mpira ilihali wao mpira hawaoneshi? wakati hizo channel wao siyo wamiliki?

Huu ni ujinga na kama kuna watu wanatetea hilo nao ni wajinga kabisa
 
Na kuna watu wanadhani Azam wanaweza kuonyesha EPL..

It is a Joke..
 
Dstv nao ikifika wkt wa mechi wanakata Kbc na RTV maana zinaonyesha mechi hizi ila baada ya mechi wanarudisha hizo channel hewani.
Kama una uwezo wa kupata kbc na rtv Basi kifurushi chako kinakuruhusu kuona 207, 210, 209 mpira wa afcon unapoosheshwa. Tatizo la azam wamekata kbc na rtv ili ulipie Cha 28 na hawajampa mbadala yule mteja wao aliyelipa 10
 
Baada ya hapo mengine mazuri yapi yanapatikana huko kwa hiyo 19000 hebu tushawishi Mkuu kwa faida ya wale wenye Azam?
Sinema Kali-action,detective, love story 139, bongo movie (housegirl na dada yake), West African movies, cartoon za watoto, mieleka, taarifa za habari za dunia kuanzia aljazira,bbc, Hadi za China huko, .( Unaepukana na chereko na ngoma zetu)
 
Serikali ikiwachukilia atua mnasema serikal inanyanyasa wafanyabiashara, was Tanzania atujielewi yan mtu analalamika kama kalazomishwa kutumia Azam
 
Back
Top Bottom