jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 5,344
- 7,101
Serikali ikiwachukilia atua mnasema serikal inanyanyasa wafanyabiashara, wa Tanzania atujielewi yan mtu analalamika kama kalazimishwa kutumia Azam
Serikali ikiwachukilia atua mnasema serikal inanyanyasa wafanyabiashara, wa Tanzania atujielewi yan mtu analalamika kama kalazimishwa kutumia Azam
wewe nawe umekuja na maswali ya kipuuzi sijui km umemuelewa mtoa maada.
Azam wanaziblock channel kama KBC, UBC na Rwanda TV unapofika muda wa mpira, walikuwa wanalifanya hilo toka zamani ili watu wote mkimbilie UTV kuangalia mpira.
Haya wamepata matatizo Channel yao ya UTV haioneshi mpira, kwanini waendelee kuziblock hizo channel zingine ambazo zinaosha mpira ilihali wao mpira hawaoneshi? wakati hizo channel wao siyo wamiliki?
Huu ni ujinga na kama kuna watu wanatetea hilo nao ni wajinga kabisa
Kama una uwezo wa kupata kbc na rtv Basi kifurushi chako kinakuruhusu kuona 207, 210, 209 mpira wa afcon unapoosheshwa. Tatizo la azam wamekata kbc na rtv ili ulipie Cha 28 na hawajampa mbadala yule mteja wao aliyelipa 10
Kila huduma hujajiunga kuna kauli hii,vigezo na mashart kuzingatiwa ulikua makini nalo hilo? Usilaumu tu tuwe makini.Awali ya yote, naomba nitoe pole ya dhati kwa msiba mzito uliowakumba Azam Media. Ni wazi mmepata pigo na familia zao ndo zina maamivu yasiyomithilika.
Hata hivyo, nasikitika kuwajulisha kuwa, musiba huu, umewafanya kuonekana mnauza huduma zenu wakati huo mkitaka wateja wasubiri hulka zenu.
Hivi ni sababu gani imepelekea kusitisha matangazo kwenye UTV yenu? Mtasema ni kuomboleza. Sawa nakubali. Hivi maombolezo hayo, yanaathiriwa na mpira pekee? Wakati mmezuia mpira kwenye utv, bado tamthilia na filamu vinaendelea. Nimeshindwa kuwaelewa.
Mbaya zaidi, mashirika ya mataifa jirani kama UBC, KBC, RWANDA TV, ambayo mtu akilipa cha 10,000/- anapata matangazo yao na walitangaza kuonesha mechi zote, kitendo chenu cha kuwazimia wkt wa mipira na kutuandikia *"Chanel restricted ", halafu baada ya mipira Chanel kuonekana, si uungwana hata kidogo. Tumelipia tuone si kuzuiwa kisa misiba. Wengi tumefiwa na kilevi chetu mpira.
Halafu mlivyo wabinafsi, hadi huduma kwa mteja mmezuia kabisa.
Nyie watu gani? Mnaboa
Kwa wewe bidada kuna maisha magic bongo itakufaa pia maisha magic East wanjitahidi sana wale wakenya wana tamthilia nzuri sana.Kama ni mpenzi wa Hollywood sometimes wanaonyesha movies za miaka ya hivi karibuni na ni nzuri sana.Baada ya hapo mengine mazuri yapi yanapatikana huko kwa hiyo 19000 hebu tushawishi Mkuu kwa faida ya wale wenye Azam?
Mada ni afcon we ya epl umeitoa wapi?Na kuna watu wanadhani Azam wanaweza kuonyesha EPL..
It is a Joke..
Ngoja niwafahamisheni.
Azam tv, hana kibali cha kuonesha hii michuano ktk robo, nusu fainali na fainali. Yeye alkua na kibali cha kuonesha hatua za makundi tuu. Msiba umetokea tuu in between lkn sio sababu ya azam kusitisha matangazo ya afcon
KBC, RTV zinafungwa kila ukifika muda wa mechi, sio ishu ya azam. Kibali walichonacho mfano kbc, ni kuonesha michuano hii ndani ya Kenya, na hivo hivo kwa rtv kibali chao ni ndani ya rwanda pekee
Ingetokea na sie tbc yetu ina kibali cha kurusha, basi wakenya, waganda wasingeweza ona kupitia tbc. Sababu kibali kingekua ni cha ndan ya nchi.
Kosa la azam, ni hawakutuambia mapema, ya kwamba wataonesha mpaka makundi pekee
Huwezi linganisha Azam na DSTV kabisa yaani DSTV vipindi vyote ni hatariBaada ya hapo mengine mazuri yapi yanapatikana huko kwa hiyo 19000 hebu tushawishi Mkuu kwa faida ya wale wenye Azam?
Huwezi linganisha Azam na DSTV kabisa yaani DSTV vipindi vyote ni hatari
kifupi azam ni wase.ngeAwali ya yote, naomba nitoe pole ya dhati kwa msiba mzito uliowakumba Azam Media. Ni wazi mmepata pigo na familia zao ndo zina maamivu yasiyomithilika.
Hata hivyo, nasikitika kuwajulisha kuwa, musiba huu, umewafanya kuonekana mnauza huduma zenu wakati huo mkitaka wateja wasubiri hulka zenu.
Hivi ni sababu gani imepelekea kusitisha matangazo kwenye UTV yenu? Mtasema ni kuomboleza. Sawa nakubali. Hivi maombolezo hayo, yanaathiriwa na mpira pekee? Wakati mmezuia mpira kwenye utv, bado tamthilia na filamu vinaendelea. Nimeshindwa kuwaelewa.
Mbaya zaidi, mashirika ya mataifa jirani kama UBC, KBC, RWANDA TV, ambayo mtu akilipa cha 10,000/- anapata matangazo yao na walitangaza kuonesha mechi zote, kitendo chenu cha kuwazimia wkt wa mipira na kutuandikia *"Chanel restricted ", halafu baada ya mipira Chanel kuonekana, si uungwana hata kidogo. Tumelipia tuone si kuzuiwa kisa misiba. Wengi tumefiwa na kilevi chetu mpira.
Halafu mlivyo wabinafsi, hadi huduma kwa mteja mmezuia kabisa.
Nyie watu gani? Mnaboa
Baada ya hapo mengine mazuri yapi yanapatikana huko kwa hiyo 19000 hebu tushawishi Mkuu kwa faida ya wale wenye Azam?
Heeee. Kuumbe. Hata hanipati rafiki nabakia zangu huku huku Azam.Hakuna kitu kama hicho,huyo jamaa atakua wakala wa DSTV. Ukilipia hio 19 elfu unapata bonasi ya wiki moja channel za mpira,baada ya hapo hupati hizo channel,zinabaki chache zisizo na mpira wa kusisimua
Heeee. Kuumbe. Hata hanipati rafiki nabakia zangu huku huku Azam.
Kwa kifurushi cha 19000 au?Huwezi linganisha Azam na DSTV kabisa yaani DSTV vipindi vyote ni hatari
Huenda rafiki.Wanaoisifia DSTV huwa wananishangaza au ndo wale wanaolipa pesa ndefu zaidi