After all Azam ni mali ya Bhakresa Group ambayo ni family owned....; and on that token tumeona wamiliki wengine (Halmashauri / Mashirika n.k.) wakishindwa kuendesha Timu; hivyo basi hata wale wanaoendesha kama Timu labda waanze kuendesha kama famili kama Azam....Watakuwa wanaendesha mpira kama familia zao
sio kweli hiyo timu inaendeshwa kisomi kabisa,na hao sio wahindi hao ni waarabu,uwe unafanya utafiti kidogo kabla hujaongea vitu broWatakuwa wanaendesha mpira kama familia zao
tawireAfter all Azam ni mali ya Bhakresa Group ambayo ni family owned....; and on that token tumeona wamiliki wengine (Halmashauri / Mashirika n.k.) wakishindwa kuendesha Timu; hivyo basi hata wale wanaoendesha kama Timu labda waanze kuendesha kama famili kama Azam....
Don't get me wrong they can do better ila nadhani kuanza kuwashambulia hawa tungeanza kwanza na timu nyingine zote kwenye ligi (apart from Simba na Yanga)
Kwanini huwa mnasifia mlio wasajili lakini matokeo yanakuwa hasi shida ni nini na mna pesa za kutosha pamoja na miundombinu ya kisasasio kweli hiyo timu inaendeshwa kisomi kabisa,na hao sio wahindi hao ni waarabu,uwe unafanya utafiti kidogo kabla hujaongea vitu bro
Ukongwe una nafasi yake ila ukiwa mkongwe huna pesa ni sawa na mtu mwenye kichwa kikubwa hana akili. Mfano GSM akiondoka, Yanga anabaki na kichwa kikubwa.labda kuna kitu hukijui kuhusu mpira, mpira si ukongwe bali ni uwekezaji wa mabilioni ya pesa.
Kama mpira ni ukongwe mamelod sundawns wasingekuwa nafasi ya pili ktk ranking za CAF
tatizo la azam ni usimba na uyanga umo ndaniKwanini huwa mnasifia mlio wasajili lakini matokeo yanakuwa hasi shida ni nini na mna pesa za kutosha pamoja na miundombinu ya kisasa
Kila msimu usajili wa Azam 'unatisha' ila matokeo sifuri.Huu usajili wa azam msimu ujao unatisha.Wadau mnasemaje?
mwaka huu unatisha zaidiKila msimu usajili wa Azam 'unatisha' ila matokeo sifuri.
Kweli kabisa, ukizingatia imeanzishwa 1996 tu..labda kuna kitu hukijui kuhusu mpira, mpira si ukongwe bali ni uwekezaji wa mabilioni ya pesa.
Kama mpira ni ukongwe mamelod sundawns wasingekuwa nafasi ya pili ktk ranking za CAF