Azam:- Hakuna mafanikio ya haraka kiasi hicho.

Hapana hii nakukatalia kaka, nchi za wenzetu kocha ni lazima ajue lugha ya nchi anayofundishia timu, kwa hiyo lugha ni kikwazo pia.

Mfano kama umesikia makocha wakihojiwa na waandishi wa habari, huwezi kukuta eti Muitaliano anayeifundisha timu ya Uingereza anaongea kiitaliano, ni kiinglish tu. Bora mchezaji asijue lugha lakini kocha ni lazima.
sahihi kabisa
 
wakubwa wa nchi hii huwa wanawaogopea wananchi hivyo hili watoto wao wapate kazi kwa urahisi
Yawezekana mkuu, maana sie tumejikita kujifunza Kiingereza kana kwamba ni lugha ya Mwenyeezi Mungu na kuacha kutilia maanani lugha nyingine kama Kichina, Kinyamwezi, Kijerumani, Kingoni na kadhalika.
 
Yawezekana mkuu, maana sie tumejikita kujifunza Kiingereza kana kwamba ni lugha ya Mwenyeezi Mungu na kuacha kutilia maanani lugha nyingine kama Kichina, Kinyamwezi, Kijerumani, Kingoni na kadhalika.

kiingereza ni lugha ya kimataifa,kingoni lugha ya wilaya moja tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom