Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

Basi la mchina, hamna club ya ULAYA INA basi duni namna hii
 
Yaani inaniuma maana jamaa anaivest fedha nyingi sana kwenye timu, anawajali wachezaji lakini bure kabisa
 
Yaani inaniuma maana jamaa anaivest fedha nyingi sana kwenye timu, anawajali wachezaji lakini bure kabisa

Mkuu Saana tu, na anawajali pia,ila tunashindwa kuelewa tatizo ni wasimamizi wa iyo timu ama ni wachezaji wenyewe kutojituma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…