Azam FC vs KCCA Live

Goooooooooool azam 1-1 kcc, Wadri william anaipatia kcc goli la kusawazisha
 
GOOOOOOOL Sure boy anaipatia azam goli la pili, azam 2-1 kcc
 
Game inachezwa kwa kasi ya hali ya juu na hii ni kutokana na timu zote kutaka ushindi, dk ya 58 azam 2-1 kcc
 
Ndiyo kaninyima sana usingizi, akiwepo hatuwezi kuifunga Simba. Subiri tukutane sasa uone tunavyopeleka msiba Msimbazi.

Hata mimi nimemiss kufungwa na Yanga. Hivi mna mpango wa kutufunga lini?
Madeni yanaongezeka
 
Hata mimi nimemiss kufungwa na Yanga. Hivi mna mpango wa kutufunga lini?
Madeni yanaongezeka

Hakuna cha deni hapo, tumewafunga mechi zaidi ya 5. Ninyi ndio mnalipa madeni. Tumeenda Zbar kamili ili tukutane nanyi, komaeni tukutane tuwashikishe adabu.
 
Hakuna cha deni hapo, tumewafunga mechi zaidi ya 5. Ninyi ndio mnalipa madeni. Tumeenda Zbar kamili ili tukutane nanyi, komaeni tukutane tuwashikishe adabu.

Hivi VPL imesimama tena kupisha hili bonanza?
 
Dk ya 65 azam 2-1 kcc
 
Goooooooooooool, azam 2-2 kcc Masiko thomas anaisawazishia kcc.....dk ya 73
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…