Azam FC vs KCCA Live

Azam FC vs KCCA Live

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,092
Ni mashindano ya kombe la mapinduz, mashindano yana shirikisha timu kumi na mbili ambazo zimepangwa katika makundi matatu kama ifuatavyo; KUNDI 'A' Taifa Jang'ombe, Yanga, Polisi zanzibar na Shaba- KUNDI 'B' KCCA, Azam fc, Mtende na Kmkm-KUNDI 'C' Simba, Mafunzo, Mtibwa na JKU.
 
Mgeni rasmi anazisalimia timu zote azam na kcc
 
Mpira unaanza katika uwanja wa Aman hapa zanzibar azam vs kcc
 
Dk 1 kcca wanapata kona kuelekea langoni kwa azam
 
Dk ya 6 kcc wanapata kona ya nne
 
Dk ya 33 azam 0-0 kcc
 
Dk ya 6 kcc wanapata kona ya nne

Asante sana Mkuu, endelea kutiririka. Tuko pamoja: Mashindano ni mashindano tu hata mabonanza yanafukuzisha makocha siku hizi! Nadhani ni muda wa Omog kutupiwa virago baada ya Maximo na Phiri waliotanguliwa na Kitambi wa Ndanda FC.
 
Dk ya 38 azam wanapata goli la kwanza, John anaiweka azam mbele
 
Half time azam 1-0 kcc
 
Kipindi cha mngwe ya lala salama kimeanza azam 1-0 kcc
 
Back
Top Bottom