Azam FC vs FAR Rabat

inamuuma kuona watu tunatafuta kwenda kwenye makundi droo tasa ni ushindi tosha kwani tunanafasi bado..

Wazee wa Uturuki na Oman walishavuka raundi hii several times hivyo Azam hadi sasa hajafanya kipya! Kwa draw hii, hatoki mtu huko Rabat, mtaniambia.
 
Nina wasiwasi na kiwango chako cha ELIMU!! We unafikiri AZAM ni Pan African au Nyota nyekundu? Bilionea Bhakhresa naye atafilisika? Unaonekana huna kitu kichwani mwako, Mbona Timu kama Kaizer Chiefs, Orland Pirates, TP Mazembe hazijafa?? Watu wanafanya Investment nyie mnakalia MANENO YA MAJUNGU NA AKINA RAGE & MANJI!!

AZAM wameshiriki mashindano ya kimataifa kwa mara ya kwanza lakini wameweza kufanya makubwa na mwaka kesho wanashiriki na hivyo kujiongezea experience na exposure wewe unawaza kufa AZAM. Au mna mpango wa kuiua nini??
 
Ahsanteni sana wote mlioponda na mliotuunga mkono kwani azam ni timu pekee iliyosalia kipande hiki cha afrika mashariki..

forza azam fc
 
Wazee wa Uturuki na Oman walishavuka raundi hii several times hivyo Azam hadi sasa hajafanya kipya! Kwa draw hii, hatoki mtu huko Rabat, mtaniambia.

ndio tunavuka na kuingia makundi wakati mnanung'unika..
 
Njemu jagubumbugajaga.
 
Ahsanteni sana wote mlioponda na mliotuunga mkono kwani azam ni timu pekee iliyosalia kipande hiki cha afrika mashariki..

forza azam fc

imesalia wap? waarabu hawacheki na kima shambani kule mtachezea zakutosha
 
words... thanks much mkuu...
 
Ahsanteni sana wote mlioponda na mliotuunga mkono kwani azam ni timu pekee iliyosalia kipande hiki cha afrika mashariki..

forza azam fc

Tunajua Azam timu B ya Simba, maumivu ya LIBOLO wanaugulia pamoja.
 
Matokeo hayajanifurahisha,japo bado nina matumaini na Azam.
 
Tunajua Azam timu B ya Simba, maumivu ya LIBOLO wanaugulia pamoja.

ni ngumu sana kufuta unazi wa mtu kabisa hasa yanga na simba ndo maana hamna maendeleo zaidi ya umbea..
 
Ahsanteni sana wote mlioponda na mliotuunga mkono kwani azam ni timu pekee iliyosalia kipande hiki cha afrika mashariki..

forza azam fc

Tunajua Azam timu B ya Simba, maumivu ya LIBOLO mnaugulia pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…