Azam FC: Hakuna timu iliyokuja kuzungumza nasi kumuhitaji Feisal Salum

King Leon 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2019
Posts
353
Reaction score
522
Msemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna timu yoyote ya Tanzania imegonga hodi kwenye timu yao kumuhitaji mchezaji wao isipokuwa ni tetesi tu kuzusha za mitandaoni na ata ivo pia mchezaji hajautaarifu uongozi wa club kama anahitaji kuondoka Azam FC.

Pia kaweka wazi kuwa mkataba wa FEISAL SALUM una vipendele vigumu sana ata kuuvunja unahitaji billion moja pamoja na pia kuna kipengele kiliwekwa na club ya Young Africans ‘Kama Azam FC itamuuza FEISAL SALUM kwenda SIMBA basi walipwe pia billion moja’ , Kitu ambacho ni kigumu sana kwa Azam FC.

Vilevile Msamaji uyo Zaka za kazi amesisitiza kuwa Simba haina uwezo wa kulipa billion 2 kwao kwaiyo taarifa za FEISAL SALUM kutimkia uko zipuuzwe.

VIPI MAONI YAKO MWANA JAMII SPORTS??
IMG_6278.jpeg
 
Hizo ni porojo tu za kimichezo ila nyuma ya pazia anaujua ukweli kuhusu mazungumzo yaliyopofikia kuhusu Feisal kuuzwa kwenda Simba.

Unajua wasemaji wa vilabu vya mpira wa miguu hawana tofauti na wanasiasa kwa kupiga porojo zisizo na ukweli ndani yake.

Muda wa utambulisho ukifika kila kitu kitakuwa wazi.
 
Kwa alivyoelezea Zaka Za kazi bila kuuma meno unaona kweli Simba watatoa huo mzigo wote na hali kioo sasa pale msimbazi?
Hizo ni porojo tu za kimichezo ila nyuma ya pazia anaujua ukweli kuhusu mazungumzo yaliyopofikia kuhusu Feisal kuuzwa kwenda Simba.

Unajua wasemaji wa vilabu vya mpira wa miguu hawana tofauti na wanasiasa kwa kupiga porojo zisizo na ukweli ndani yake.

Muda wa utambulisho ukifika kila kitu kitakuwa wazi.
 
Hizo ni porojo tu za kimichezo ila nyuma ya pazia anaujua ukweli kuhusu mazungumzo yaliyopofikia kuhusu Feisal kuuzwa kwenda Simba.

Unajua wasemaji wa vilabu vya mpira wa miguu hawana tofauti na wanasiasa kwa kupiga porojo zisizo na ukweli ndani yake.

Muda wa utambulisho ukifika kila kitu kitakuwa wazi.
Akili zao hua zimejaa MAVI.
 
Hii ndo ilikuwa point yake, sijui anaionaje simba
Ana jua na uzoefu juu ya vilabu vya kariakoo wakimtaka mchezaji wa ndani ni ngumu sana kwao kutoa hela nyingi tena ya kununua mkataba wenye thamani ya billion kwenda juu ni ngumu ndio maana amejiamini kusema ivo,, Kazi kwa mabosi wa Simba kutuprove wrong na kuonesha upapa
 
Kwanza huyo Feisal hana thamani hiyo basi tu
 
Msemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna timu yoyote ya Tanzania imegonga hodi kwenye timu yao kumuhitaji mchezaji wao isipokuwa ni tetesi tu kuzusha za mitandaoni na ata ivo pia mchezaji hajautaarifu uongozi wa club kama anahitaji kuondoka Azam FC.

Pia kaweka wazi kuwa mkataba wa FEISAL SALUM una vipendele vigumu sana ata kuuvunja unahitaji billion moja pamoja na pia kuna kipengele kiliwekwa na club ya Young Africans ‘Kama Azam FC itamuuza FEISAL SALUM kwenda SIMBA basi walipwe pia billion moja’ , Kitu ambacho ni kigumu sana kwa Azam FC.

Vilevile Msamaji uyo Zaka za kazi amesisitiza kuwa Simba haina uwezo wa kulipa billion 2 kwao kwaiyo taarifa za FEISAL SALUM kutimkia uko zipuuzwe.

VIPI MAONI YAKO MWANA JAMII SPORTS??View attachment 3421467
tulijua ni swala la mda tu umma kujua kwamba dili la fei kwenda azam,yanga waliweka vipendele vyao vya mitego mitego walijua tu kolo koloni atajipendekeza B2 mezani deni la kanji litafikia B89 PATAMU HAPO
 
Hizo ni porojo tu za kimichezo ila nyuma ya pazia anaujua ukweli kuhusu mazungumzo yaliyopofikia kuhusu Feisal kuuzwa kwenda Simba.

Unajua wasemaji wa vilabu vya mpira wa miguu hawana tofauti na wanasiasa kwa kupiga porojo zisizo na ukweli ndani yake.

Muda wa utambulisho ukifika kila kitu kitakuwa wazi.
ukiona katambulishwa ukae ukijua deni la MO kwenu litakuwa kutoka B87 mpk B89
 
Back
Top Bottom