John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,285
Habari za mda huu wanajamvi,
Kuna tetesi za kinywaji cha mzee wetu Bakhresa Azam energy kimefungiwa kwa kukutwa na viatarishi vya afya ya binadam.
Sasa kama ni kweli baada ya miaka yote hii kuwepo sokon sijui imeshamaliza watu wangapi mpka sasa.
Na Watu wengine waliodhurika na hayo mafuta ya kula yenye sumu kuna taarifa kwamba wamepofuka macho, wamekuwa vipofu na hawaoni tena.Business as usual. Hakuna uwajibikaji. Kuna watu zaidi ya 100 walibabuka ngozi kwa kula mafuta yenye kusadikika kuwa na sumu ulisikia hata waziri kaenda kuwatembelea? Mpaka ngozi kubabuka unajua huko ndani hali ipoje?
Tulishasema ngozi nyeupe inatumia kila njia kutupunguza tukaambiwa wachochezi, lakini jiulize hivyo vinywaji yeye mwenyewe mwenye kiwanda hanywiSasa kama ni kweli baada ya miaka yote hii kuwepo sokon sijui imeshamaliza watu wangapi mpka sasa.
Chief inauwa panya kweli kwa kufanya hivyo? Kuna panya nahisi wametumwa kwenye biashara yangu. Nataka nitangaze msibaHii Azam energy Ina uwezo wa kuuwa ng'ombe sembuse we mwanadamu.
Chukua chupa moja ichemshe kisha mwagia majani ng'ombe wakila wanakufa ndo wakulima uitumia Morogoro kuuwa ng'ombe za wafugaji wakorofi wwanaolisha mashamba yao.
Pia utumika kuulia panya loweka nafaka na energy kisha weka mahali pa panya wakila wanakufa wote
Duuh hadi wewewiki hii yote hamna siku sijanywa +kuchanganyia mambo yetu
Piga dry mzeee why uchanganyePombe kali tutachanganyia nini sasa 😁
DahHabari za mda huu wanajamvi,
Kuna tetesi za kinywaji cha mzee wetu Bakhresa Azam energy kimefungiwa kwa kukutwa na viatarishi vya afya ya binadam.
Sasa kama ni kweli baada ya miaka yote hii kuwepo sokon sijui imeshamaliza watu wangapi mpka sasa.
Niliwahi kujaribu niliokutana na vibe kichwani nikasema hiki nini kwani?Habari za mda huu wanajamvi,
Kuna tetesi za kinywaji cha mzee wetu Bakhresa Azam energy kimefungiwa kwa kukutwa na viatarishi vya afya ya binadam.
Sasa kama ni kweli baada ya miaka yote hii kuwepo sokon sijui imeshamaliza watu wangapi mpka sasa.
Huna hojaLabda abdul figo nimepata mushkel
Huu mchezo ulisababisha nikahisi moyo unabomoa kifua ili utoke nje.Pombe kali tutachanganyia nini sasa 😁
100%Ma energy drink yote ni mabaya kwa afya
Yesu...🙊Hii Azam energy Ina uwezo wa kuuwa ng'ombe sembuse we mwanadamu.
Chukua chupa moja ichemshe kisha mwagia majani ng'ombe wakila wanakufa ndo wakulima uitumia Morogoro kuuwa ng'ombe za wafugaji wakorofi wwanaolisha mashamba yao.
Pia utumika kuulia panya loweka nafaka na energy kisha weka mahali pa panya wakila wanakufa wote
mastitis unamaaniasha niniMo alishawahi kusema, tangu azaliwe hajawahi kunywa Mo energy.
Mtu akipewa kazi ya kuchimba mtaro tu lazima anywe mo energy.,huko mastitis ndio usiseme.
Unaweza kudhani kuna kiwanda humo saiti
Sijajiongelea mm naongea kwaajili ya vijana wa hovyoPiga dry mzeee why uchanganye