nina king'amuz cha startimes nakup king'amuz na elfu 40 naomba kingmz cha azam
Hilda nakupngeza sana kwa mapenzi yako kwa AZAM TV.Aisee kweli kiboko.
King`amuzi bureee na pesa juuu,ili upate burudani kwa wote.
Sema changu kimoja cha ziada nimekiuza majuzi tu,yaani ningekupa bureeeeeeee
Aisee kapandisha bei sana, sisi huku Kagera kinauzwa laki 2
Mimi nasubiri punguza la krisimasi na mwaka mpyaata mi niliisoma no. nilipuuzia 130 july nkaja kununua 170 sept
Hilda nakupngeza sana kwa mapenzi yako kwa AZAM TV.Aisee kweli kiboko.
King`amuzi bureee na pesa juuu,ili upate burudani kwa wote.
Sema changu kimoja cha ziada nimekiuza majuzi tu,yaani ningekupa bureeeeeeee
nina king'amuz cha startimes nakup king'amuz na elfu 40 naomba kingmz cha azam
hahahaaaase namm nampa na laki juu