Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,581
- 10,110
MIAKA 50 YA BAKHRESA GROUP
Muasisi na Mwenyekiti wa Kampuni za Bakhresa, Said Salim Awadh Bakhresa, ndiye alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa kampuni za Bakhresa, yaliyofanyika leo Agosti 09, 2025 kwenye ukumbi wa The Dome Masaki, Dar es Salaam.