Azam 2 wanaonesha live maadhimisho ya mauaji ya Kimbari Rwanda

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,307
6,514
Rais Magufuli na mkewe wameshiriki pamoja na Raisi Kagame katika kuwasha mwenge wa kumbukizi ya miaka 22 ya mauaji ya kimbari. Lugha inayotumika kwa kiasi kikubwa ni kinyarwanda.

Fuatilia tukio hilo Azam 2 wanaonesha live.
 
Back
Top Bottom