Ayatollah Ali Khomen Israel Ingevurugwa Yote

Ayatollah Ali Khomen Israel Ingevurugwa Yote

Wa Israel hawajakimbia tu hivi hivi bila sababu yale makombora ya Iran vishindo vyake vilikua ni noma Trump mwenyewe anasema tangu azaliwe hajawahi kuona mashambulizi kama yale na amekiri Israel imepigwa haswa, sasa lazima wana wa Israel wakimbie maana kombora likitua hapa hadi nyumba ya 10 lazima ipasuke vioo kwa mtikisiko
Leo France wamekiri wazi walimsaidia Israel kuangusha drones za Iran



View: https://youtube.com/shorts/6E2d9ftCg70?si=IrPEZJ6m6pZCianM
 
aaah ! kumbe bado unakiburi wewe endelea kuleta maneno ya rusha roho tu ukiingia kwenye kumi na nane zao wanaponda kichwa.
 
Kwani vita imeisha, mi nilidhani wako kwenye cease fire tu?

Walianzishe kama wako tayari?

Shida yao wanaongea sana, vikianza wanauwawa wote walioko juu.

Huyo Ayatollah naona anaongea sana siku hizi, au kesha vaa bomu la nuclear tayari?
 
Netanyahu kaachwa uchi na Ayatollah. Bila nguvu ya soda kutoka Marekani, saa hizi waisrael wangekuwa bado wanaishi chini ya udongo kukwepa makombora ya Iran.
Nimeona picha moja jamaa wamempiga picha Yuko ofissini kadirisha alikuwa hajafunga vizuri na wanasema hata yeye wakimtaka wanaweza kumfikia.

Iran wanabiti sana aisee
 
Jidangan'ye tu ukweli wameuliwa macommander na Mossad kikosi cha 8200 karibu wote pale Tela Aviv. Toka lini Israel alitoa siri zake
Kama waliwaua wote wanasubiri nini sasa kuifuta Israel??
 
Yanawekera kwa kua hamkutegemea kilichotokea ....yaani jamaa hajatishika msimamo wake uko pale pale
Waziri wa nje wa Israel anataka Europe wamfanyie sunction Iran, bada kuona hakuna walicho fanikiwa kule Iran. Sa ajabu hawa wakanisa bado tu wanamini Israel aliwapiga warabu kwenye siku sita. Sadat aliposema tunapigana na Nato sisi sio Israel alikuwa hajakosea. Israel ana vichwa vya Nuclear lakini hakuna anaye sema Israel anatishia ulimwengu, ikiwa hapo Gaza walitaka kupiga eti Nuclear si vichaa hawa.
 
We kobazi, mmepigwa usiku kucha siku Trump kasema mpewe pause
 
Waisral kuvumilia shida awawezi tumeona Vita ya siku 10 tu lkn tayali

walikuwa wanaikimbia Israel kwa miguu na mizigo yao !!

najiuliza vita ingechukua miez m3 JE kungebaki mtu uko Israel!!!!

IRAN shikamooo ..
Kipindi cha ijue Israel cha radio Maria kinaeneza chuki ya hatari sana
 


Naona Ayatollah kuishi shimoni muda wote kama panya, kumepoteza akili yake yote. Anayoyatamani anayafanya kuwa ni uhalisia.

Kwa takwimu za mashambulizi na matokeo ya vita, Iran imepigwa vibaya sana, na kama Israel nayo ingeamua kupiga ovyo ovyo kama ilivyokuwa inafanya Iran, sahizi tungekuwa tukiongelea maelfu ya vifo ndani ya Iran.
 
Navyowajua wayahudi, yaani Ayatollah atauwa peke yake kama Rais wa Iran yule aliuawa kwa kuchomwa helicopter yake tu, yaani Ayatollah ajue MOSSAD wako Tehran kibao, na lazima watampeleka kuzimu, katu Myahudi hawezi kubali pamoja kawaua viongozi karibu wote wa Iran, ila Ayatollah ajue kabisa yuko within reach of Israel death squad!!!
Mwenyewe kashakwambia anamiaka 86 kwaiyo mwili wake hauna thamani tena pia hata akifa yeye ahadi ya kweli ya waajemi haiwezi kufa
 
Back
Top Bottom