Ayatollah Ali Khomen Israel Ingevurugwa Yote

Waisral kuvumilia shida awawezi tumeona Vita ya siku 10 tu lkn tayali

walikuwa wanaikimbia Israel kwa miguu na mizigo yao !!

najiuliza vita ingechukua miez m3 JE kungebaki mtu uko Israel!!!!

IRAN shikamooo ..
 
Navyowajua wayahudi, yaani Ayatollah atauwa peke yake kama Rais wa Iran yule aliuawa kwa kuchomwa helicopter yake tu, yaani Ayatollah ajue MOSSAD wako Tehran kibao, na lazima watampeleka kuzimu, katu Myahudi hawezi kubali pamoja kawaua viongozi karibu wote wa Iran, ila Ayatollah ajue kabisa yuko within reach of Israel death squad!!!
 
Wameisha kamatwa wengi sana hao ndio walikuwa wanamsaidia Israel kurusha drones na kupiga mabomu na kuwafatilia ma scientist na ma Commander wa Iran.
 
Navyowajua wayahudi, yaani Ayatollah atauwa peke yake kama Rais wa Iran yule aliuawa kwa kuchomwa helicopter yake tu, yaani Ayatollah ajue MOSSAD wako Tehran kibao, na lazima watampeleka kuzimu, katu Myahudi hawezi kubali pamoja kawaua viongozi karibu wote wa Iran, ila Ayatollah ajue kabisa yuko within reach of Israel death squad!!!
Ata wakimuua hawatabadirisha kitu kwanza mtu mwenyewe ana miaka 86. Mbona mmeuwa makamanda wa juu wa kijeshi wa iran lakina makopro wakashika nafasi na kupeleka moto mpaka wenyewe mkatema bungo
 
Israel wameua mkuu wa jeshi la Iran na aliembadili na viongozi kibao wa kijeshi,'

Iran wameshindwa kuua hata mgambo, walichoweza ni ku lenga nyumba za raia wa kaiwaida,
Jidangan'ye tu ukweli wameuliwa macommander na Mossad kikosi cha 8200 karibu wote pale Tela Aviv. Toka lini Israel alitoa siri zake
 
Netanyahu kapagawa na kipigo hadi anakiri haelewi alichokuwa anakifanya.
 
Attachments

  • Screenshot_20250626_161604_Facebook.jpg
    Screenshot_20250626_161604_Facebook.jpg
    405.1 KB · Views: 11
  • Screenshot_20250626_161604_Facebook.jpg
    Screenshot_20250626_161604_Facebook.jpg
    405.1 KB · Views: 14
Waisral kuvumilia shida awawezi tumeona Vita ya siku 10 tu lkn tayali

walikuwa wanaikimbia Israel kwa miguu na mizigo yao !!

najiuliza vita ingechukua miez m3 JE kungebaki mtu uko Israel!!!!

IRAN shikamooo ..
Wa Israel hawajakimbia tu hivi hivi bila sababu yale makombora ya Iran vishindo vyake vilikua ni noma Trump mwenyewe anasema tangu azaliwe hajawahi kuona mashambulizi kama yale na amekiri Israel imepigwa haswa, sasa lazima wana wa Israel wakimbie maana kombora likitua hapa hadi nyumba ya 10 lazima ipasuke vioo kwa mtikisiko
 
Ata wakimuua hawatabadirisha kitu kwanza mtu mwenyewe ana miaka 86. Mbona mmeuwa makamanda wa juu wa kijeshi wa iran lakina makopro wakashika nafasi na kupeleka moto mpaka wenyewe mkatema bungo
Pale Iran hata uwaue nchi nzima ukimuacha mtoto mmoja tu wa miaka mi 5 lazima arushe makombora hadi uombe amani kwahiyo hata wakifanya michezo yao ya kuvizia na kumuu Ayatollah wajue hapo ndo watakua wameuwasha moto ambao Trump mwenyewe hataweza kuusogelea
 
Back
Top Bottom