Aman ya bwana iwe nanyi wakuu wa jukwaa letu pendwa
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Lameck ditto ni mshikaji wangu kitambo sana tena mimi namkubali sana kwakwel, lakin jamaa kajichanganya kinoma sijui hakusoma upepo unavyoenda sijui pepo gan lillimuingia
Jamaa kaachia ngoma juz juz wakati huo huo mkali wao wa RNB STIVE RNB naye kaachia ngoma kali kinoma inakwenda kwa jina la dawa yaan had sasa mshikaj wangu lameck kafichwa kinoma na stive yaan jamaa kajichanganya, lakin mimi nilimushauli jamaa akaniona bitoz tu oky ngoja aisome namba maana alitaka kujipima ubavu na fundi lao, baba lao stive rnb..
Nawasilisha NANYUPU BABY
Kutoa nyimbo nao ni uzazi wa mpango hadi mpeane muda?Aman ya bwana iwe nanyi wakuu wa jukwaa letu pendwa
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Lameck ditto ni mshikaji wangu kitambo sana tena mimi namkubali sana kwakwel, lakin jamaa kajichanganya kinoma sijui hakusoma upepo unavyoenda sijui pepo gan lillimuingia
Jamaa kaachia ngoma juz juz wakati huo huo mkali wao wa RNB STIVE RNB naye kaachia ngoma kali kinoma inakwenda kwa jina la dawa yaan had sasa mshikaj wangu lameck kafichwa kinoma na stive yaan jamaa kajichanganya, lakin mimi nilimushauli jamaa akaniona bitoz tu oky ngoja aisome namba maana alitaka kujipima ubavu na fundi lao, baba lao stive rnb..
Nawasilisha NANYUPU BABY
Nafikiri aina, ya uandishi ni indicator tosha ya personality ya mtuSijui umeandika nini hapa masikini
Dunia ni ndogo tukiungana kiutu uzima wakuu(We live in the erra of foolish people with social networks)Nafikiri aina, ya uandishi ni indicator tosha ya personality ya mtu
Sijui umeandika nini hapa masikini
Hahaha ulimushauli