Ayaaaaa Lameck Ditto umekosea kinoma mtu wangu

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,896
25,941
Aman ya bwana iwe nanyi wakuu wa jukwaa letu pendwa

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Lameck ditto ni mshikaji wangu kitambo sana tena mimi namkubali sana kwakwel, lakin jamaa kajichanganya kinoma sijui hakusoma upepo unavyoenda sijui pepo gan lillimuingia

Jamaa kaachia ngoma juz juz wakati huo huo mkali wao wa RNB STIVE RNB naye kaachia ngoma kali kinoma inakwenda kwa jina la dawa yaan had sasa mshikaj wangu lameck kafichwa kinoma na stive yaan jamaa kajichanganya, lakin mimi nilimushauli jamaa akaniona bitoz tu oky ngoja aisome namba maana alitaka kujipima ubavu na fundi lao, baba lao stive rnb..

Nawasilisha NANYUPU BABY
 
hehehehhe watoto wa mjini Magufuli amewaambia mnatakiwa mrudi kijijini kabla ya july.......naona mmepambana sana..mko mjini mpka leo hii
 
Wew ditho saiv hakamatiki,ase si kwa ngoma lake hili la utabadilika' steve atasubir san ase.
 
hehehehhe watoto wa mjini Magufuli amewaambia mnatakiwa mrudi kijijini kwa la ya july.......naona mmepambana sana..mko mjini mpka leo hii
Sisi tumezaliwa mjin sasa tukitoka twende wap
 
Aman ya bwana iwe nanyi wakuu wa jukwaa letu pendwa

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Lameck ditto ni mshikaji wangu kitambo sana tena mimi namkubali sana kwakwel, lakin jamaa kajichanganya kinoma sijui hakusoma upepo unavyoenda sijui pepo gan lillimuingia

Jamaa kaachia ngoma juz juz wakati huo huo mkali wao wa RNB STIVE RNB naye kaachia ngoma kali kinoma inakwenda kwa jina la dawa yaan had sasa mshikaj wangu lameck kafichwa kinoma na stive yaan jamaa kajichanganya, lakin mimi nilimushauli jamaa akaniona bitoz tu oky ngoja aisome namba maana alitaka kujipima ubavu na fundi lao, baba lao stive rnb..

Nawasilisha NANYUPU BABY

Sijui umeandika nini hapa masikini
 
Kutoa nyimbo nao ni uzazi wa mpango hadi mpeane muda?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom