AY na Amani

Status
Not open for further replies.

Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,517
4,987
Jamani wana jamvi, kunakipindi nilikuwa likizo huko home nikasikia umbea kuwa AY na Amani yule mwanamusiki wa Kenya kuwa walikuwa katika harakati za kuoana. Ni kweli?
 
Genekai
Kwani hiyo ni Joke? weka kila kitu mahala pake bwana, this is the house of great thinkers. Hata hivyo hiyo ni issue ambayo ni personal sana. Lakini kwa kuwa hao watu ni celebrities then its ok
 
Genekai
Kwani hiyo ni Joke? weka kila kitu mahala pake bwana, this is the house of great thinkers. Hata hivyo hiyo ni issue ambayo ni personal sana. Lakini kwa kuwa hao watu ni celebrities then its ok
Asante!
 
walimegana,wakapeana mimba,
wakatoa mimba,sasa wamechana.
typical za kibongo bongo.
they got no class.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom