Ngonepi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 1,872
- 1,207
Waungwana baada kuhangaika kwa muda mreefu sana kutafuta nyimbo ya mwana hiphop na mtangazaji Babuu wakitaa bila mafanikio nimeona nijisalimishe jukwaa hili!!
Nyimbo inaitwa NANI ANAYEWARUSHA nadhani ni hivyo, Hakuwahi kuitolea albam kusema ningeenda kuinunua, na nimetafuta kwenye mitandao mbalimbali bila mafanikio!
Sina mawasiliano ya Babuu wa kitaa kuweza kumwomba yeye mwenyewe.
Kwa kuwa nafahamu jukwaa hili lina wajuvi wengi wa mambo ya muziki matarajio yangu ni kusaidiwa kuipata!
Nitangulize shukrani!