PreGE2025 Aweso: Mkandarasi mradi wa Maji Tunduma - Vwawa nataka ukamilike kwa wakati "ukizingua nami nakuzingua"

PreGE2025 Aweso: Mkandarasi mradi wa Maji Tunduma - Vwawa nataka ukamilike kwa wakati "ukizingua nami nakuzingua"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amemuagiza Mkandarasi Kutoka kampuni ya CCECC ya Nchini China anayetekeleza mradi wa Maji Tunduma - Vwawa kuhakikisha anakamilisha kazi kwa wakati huku akisisitiza kuwa akimzingua naye atamzingua.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Waziri Aweso ametoa maagizo hayo leo tarehe 20 Machi 2025 kwenye hafla ya utiaji saini ya mkataba wa mradi huo unaotekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa gharama ya shilingi bilioni 119. 954.

 
Back
Top Bottom