Awena, Wimbo wa Kassim Mganga

Awena, Wimbo wa Kassim Mganga

Jamaa huwa sina time naye kabisa ila kiukweli kwenye hii nyimbo huwa anapata attention yangu.
 
Mwenye link ya huo wimbo wa hadija
 
Ile song haina mpinzani bongo nilishaandika thread yake miaka miwili iliyopita
 
Mleta mada umetendwa? Tunataka kukupa maushauri ze aza way badala ya tungo za nyimbo
 
Sasa kama wakifeli wengi asiseme?
 
Back
Top Bottom