Walimu njooni pande hizi
Mie mummy au? me nitamwelekeza mke akija PM.Ila nafanya kazi
Real men marry teachers.......................Waungwana nimeamua kuoa na kuanza maisha ya ndoa,hii tabia ya kusema bado hapana.Ajitokeze tu mwalimu wa sekondari nikamilishe taratibu za kwenda kwao.Umri awe na 23-26.
PM ihusike katika hili.
Asante.
nawe ni mwalimu au askari?
Real men marry teachers.......................