Away for a while

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Posts
3,173
Reaction score
486
Hello Jf members
Kwa kitambo nimekuwa nanyi. Nimethamini, nimeipenda michango yenu na nahisi nitaimiss kwa kiasi fulani. Nitakuwa mbali na jukwaa kwa kitambo kidogo kuanzia kesho 13th April. Hii ni kutokanana na majukumu fulani amabayo nahitajika kuyafanya kwa uangalifu mkubwa. Natumaini kuwa siku moja nitaungana nayi tena.
I LOVE YOU ALL!
 
Yah it is necessary, unappoingia unapiga hodi kule kwa wageni, ni vyema pia kusema kwaheri pale unapotoka.
Nahisi nipo safari moja na huyu Great Thinker, basi nami sina budi kusema Poooo kwa punde kidogo bidae tutakuwa pamoja tena.
 
All the best in all duties dat keep u away with us.MUNGU akutangulie kwenye yote.
 
Hatimaye nimerudi wajemeni hata kama kuna wengine hawakutaka nirudi. Poleni na starehe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…