Awamu ya viwanda - Tanzania yaanza kuunda ndege zisizo na rubani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,733
239,338
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia ( Costech ) , Dr Hassan Mshinda .

Chanzo - Mwananchi .

Mytake , nchi iliyoshindwa kutengeneza hata pamba ya kuoshea vidonda , ikiweza kutengeneza ndege ( hata kama ni Vishada ) , itakuwa hatua kubwa mno !
 
Acha dhihaka wewe. Pamba za kusafishia vidonda tunaandaa
 
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia ( Costech ) , Dr Hassan Mshinda .

Chanzo - Mwananchi .

Mytake , nchi iliyoshindwa kutengeneza hata pamba ya kuoshea vidonda , ikiweza kutengeneza ndege ( hata kama ni Vishada ) , itakuwa hatua kubwa mno !
Kwani kuna watu bado wanapenyeza penyeza viroba eeeh? Na si mlikuwa mnawasingizia vijana...haya sasa, mzee wetu ndani ya waya.
 
kwa hiyo wasitengeneze? unajua mda mwingine mnakuwa pessimistic mpaka mnaboa.
Ni nani anayeboa Kati yetu na nyie? miaka 60 ya kujitawala tumeshindwa hata kutengeneza stick za meno eti nazo zinatoka China, miaka 60 bado mnahakiki vyeti na kuua watu wanaowakosoa,miaka 60 mmeanza kuomba misaada hadi Morocco, miaka 60 ya Uhuru mmeshaomba wataalamu wa IT Rwanda, leo hii eti mnataka kutengeneza drone, ni kichekesho kama siyo wazimu, kiwanda cha magari cha ya Nyumbu kibaha mlikiua, viwanda vyote mliua, mmeona ni bora muanze kupora mafao ya wafanyakazi, eti hii nyie ndo mtengeneze drone?
Labda drone ya ungo, mnachekesha kweli nyie.
 
Huwa nacheka sana Napolitano na home kama ya kwako maana nijiridhisha ujamaa ukijaribu kizazi chote cha kitanzania,kwa hiyo wewe kwa akili yako ulitaka govt ndo wajenge hicho kiwanda cha toothpick na sio kwamba wewe ndo umeshindwa
 
Back
Top Bottom