More problems
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 432
- 257
Ndio kwanza lorry harijashika kasi utaomba ushuke huko mbele unaona kizunguzungu saa hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] [emoji86] .
Watu wameonyesha rangi zao halisi phase 5.
Kupata maarifa na stadi za maisha ni jambo endelevu
Awamu ya tano ya uongozi wa mheshimiwa imenifunza yafuatayo.
#1. Kutosikiliza watu pale unapokuwa na mipango yako
#2...Kuwa upande wa rafiki yako katika mazuri na mabaya
#3. Unafiki ni sehemu ya maisha na ukiwa mkweli unakufa Mapema
#4. Fisi hawezi mzaa kondoo. Anayrtoka kwenye ukoo wa fisi ni fisi
#5. Maneno sio matendo. Unaweza ukasema umesamehe halafu ukamuadhibu mhusika
Atajifunza sana bado mapema.Na bado mkuu utajifunza mengi tu, hutaishia hio namba 5...
Jipange kisaikolojia tu, huenda ukajifunza zaidi hata ya mambo 50 [emoji23][emoji3]
Na bado mkuu utajifunza mengi tu, hutaishia hio namba 5...
Jipange kisaikolojia tu, huenda ukajifunza zaidi hata ya mambo 50 [emoji23][emoji3]
Yote unayosema umejifunza ni lalama tele.Kupata maarifa na stadi za maisha ni jambo endelevu
Awamu ya tano ya uongozi wa mheshimiwa imenifunza yafuatayo.
#1. Kutosikiliza watu pale unapokuwa na mipango yako
#2...Kuwa upande wa rafiki yako katika mazuri na mabaya
#3. Unafiki ni sehemu ya maisha na ukiwa mkweli unakufa Mapema
#4. Fisi hawezi mzaa kondoo. Anayrtoka kwenye ukoo wa fisi ni fisi
#5. Maneno sio matendo. Unaweza ukasema umesamehe halafu ukamuadhibu mhusika
wanafiki hawajiamini, ni watu waoga waoga sana.Kweli kabisa, maisha bila unafiki hayaendi....