MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Tunakosa mwendelezo katika Mambo ya msingi na yanayogusa maslahi mapana ya nchi.
Dunia kwa Sasa inaendeshwa kwa network na network ujengwa kwenye mahusiano baini ya serikali na WAFANYABISHARA , serikali na taasisi za kimataifa, serikali na jumuhia mbalimbali na mwisho serikali au nchi na nchi.
Tunaweza tukawa na viongozi wenye kuitakia mema Tanzania lakini wakakosa mikakati ya kutekeleza maono Yao. Ni vigumu kuishi Duniani ukajitenga na walimwengu au kuwadhiaki walimwengu then ukapata mafanikio.
Urusi ni nchi kubwa Duniani na inaongozwa na wataalamu wa mikakati na kijasusi lakini iliona si vyema kugombana na Marekani, viongozi wa Urusi hawakuona ni afya kutunishiana misuli na US Bali walijishusha kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa lengo la kuwalinda warusi waliowekeza Duniani na kulinda maslahi mapana ya Urusi nje ya Urusi.
Mataifa mbalimbali yanatofautiana na kutokuelewana lakini yanakwenda mezani na kujadiliana Kisha yanasonga mbeli kwa sababu Duniani tunategemeana.
Hakuna ukoloni mpya utakaokuja isipokuwa ukoloni uliopo Sasa wa kukosa mbinu za kutumia fursa zilizopo Duniani kukufanikisha kiuchumi na kisiasa.
Sisi tumefika mahali wageni wote kwetu tunawaita wezi, vibaraka, sijui Wana wivu na rasilimali zetu, Mara tumewakomoa wanaangaika nk huku tukisau kuwa tajiri hawezi kuangaika kumnyenyekea maskini isipokuwa tajari anaweza kumsikiliza maskini na kumtimizia mahitaji yake pale tu maskini atakapoweza kumshawishi tajiri kuwa pamoja na umaskini wake lakini yeye ni muhimu kuwezesha huyo tajiri kuzidi kuwa tajiri.
Tunakosea Sana kutibua mikakati na heshima iliyojengwa na JK machoni pa mataifa, si kitu kirahisi kuitangaza Tanzania kimataifa Kama ilivyo rahisi kubomoa ..
Waziri wa mambo ya nje jaribu kubadili mwelekeo wa nchi yetu kwa wageni, Ni Kama tunataka tuishi peke yetu Tanzania tukiamini Tunaweza kuendelea ....maendeleo yanaletwa na watu na hivyo tujijengee utaratibu wa kuzungumza na watu kwa sta na tuondoe kiburi.