ntazana ntazana
JF-Expert Member
- Sep 18, 2021
- 1,708
- 3,020
True.Magufuli aliwachalaza akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu

Alikuwa hana utani na wezi wa hapo KilimonjoroMarehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
(1)alitaka kutengeneza sukuma empire
(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.
(6) aliwatukana wazungu adharani
(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.
Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujenzi maziwa yote chatoSgr Chato
Stiglers dam Chato
Msalato airport Chato
Mji WA serikali Chato
Ring road Bora EA Chato
Vituo vya afya vyote Chato
Kijazi interchange Chato
Brt phase 2 Chato
Ndege zote zipo Chato
Hii miradi yote ipo Chato na inatumiwa na wana Chato tu
Mwizi ni weweAlikuwa hana utani na wezi wa hapo Kilimonjoro
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe utaishi milele mkuuNdugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama
Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene
Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu
Imagine Kila project inaenda kijijini Chato
Imagine kila kizuri ni chato
Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu
Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto
Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi
Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana
Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee
Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali
Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!
Update kutoka kwa mdau
Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
(1)alitaka kutengeneza sukuma empire
(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.
(6) Alikua mkabila sana
(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.
Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki
Bora Majaliwa kuliko yule boya wenuBila Shaka mafisadi mmefurahi Sana, ni wakati wenu wa kula Bata, hata hivyo muombe Mungu Majaliwa asishike nchi 2025, mtalimia meno kudadeki
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Ngosha umefura kama koboko mmenyang'anywa tonge mdomoniSgr Chato
Stiglers dam Chato
Msalato airport Chato
Mji WA serikali Chato
Ring road Bora EA Chato
Vituo vya afya vyote Chato
Kijazi interchange Chato
Brt phase 2 Chato
Ndege zote zipo Chato
Hii miradi yote ipo Chato na inatumiwa na wana Chato tu
Anacharazwa na damu za watu aliowauwa na kuwapoteza bila hatia huko motoniMagufuli aliwachalaza akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu
Wa kwanza alikuwa nani mkuu ama ni role model PKalikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
Mbona kama unasema uongo mkuu(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.
Achana na hizo propaganda. Nchi tangu uhuru imeshuhudia miradi mbalimbali nchi nzima mikoa yote. Sema mkoa gani ambao haukuwa na project yeyote. Tuache ushabiki wa kichuki. Nambie mkoa gani ambao haukuwa na viongozi wa kuteuliwa. Na tena naweza sema mkoa uliokuwa na viongozi wengine pengine ni Iringa wala kanda ya ziwa. Alifanya distribution nzuri sana kwenye uteuzi. Tuache siasa za chuki.Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama
Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene
Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu
Imagine Kila project inaenda kijijini Chato
Imagine kila kizuri ni chato
Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu
Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto
Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi
Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana
Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee
Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali
Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!
Update kutoka kwa mdau
Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
(1)alitaka kutengeneza sukuma empire
(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.
(6) Alikua mkabila sana
(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.
Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki
Ukisikia neno Kilimanjaro unawashwa ? Na bado mtazidi kubaki na chuki zenu huku Kilimanjaro ikizid kupaa kwa mambo MazuriAlikuwa hana utani na wezi wa hapo Kilimonjoro
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hajajenga yeye kwa pesa zake ni za walipa kodi.Ubungo flyover ipo Chato?