Awamu ya Magufuli ingeendelea, hii nchi ingetumbukia shimoni

hovyo ni dhana mtambuka

hapa hata ukiombwa uthibitisho huna.

wale magaidi wameacha wajane pia,labda u mmja wao.

huwa nawauliza wenzako,mmeibiwa kiungo gani mwilini mwenu??hawasemi.

alikuahidi ndoa??

hasira zote hizi hahhsiki na upande uliouchagua
Huyu atakuwa mjane wa lile gaidi la kiislamu lililouwa maeneo ya ndondwe mvuti
 
sri lanka maandamano hayaendeshwi na walafi na wavivu wapenda umbea,ni wananchi waliochoka na tabia mbaya ya kiongozi wao.kasome tena sababu ya machafuko,hapa mnafilimbwa na wanajeshi na polisi mkijaribu kuandamana sababu ni ushoga tu unawasumbua.

wewe kama kuna ndugu yako aliporwa hizo pesa na anafanya biashara halali basi akili hana.

upinzani mnaaua wenyewe,mmepewa wabunge 19 mnakata viuno "oooooh sio wenzetu,go to hel mazafanta.

lengo la upinzani ni kuirekebisha serikali kwa manufaa ya uma sio kupinga,huu mtizamo wa kipuuzi ndio unafanya mnakosa kuungwa mkono na jamii.

sabaya kakaba sana mamangi wauza sukari ,mafuta bei juu.
katetea sana wanyonge thidi ya wadhurmati kwenye viwanja na mashamba.
ila kwakuwa ni nchi inataka kuwa ya kixenge,waxenge ndio wanamuona sabaya hafai na kumnukisha mavi.
Jinsia yako haikuruhuru kutumia X badala ya S unless unatatizo sehemu!
 
Mwaandishi haujielewi wew mjinga sana. Dr.JPM alifuta ubaguzi, Baba CCM na Mama, CHADEMA mtoto CUF.Itikadi 3 tofauti,Ujamaa/ukomonisiti, ubepari na ulaiberiani.hivi JPM
aliona vigawa taifa. Mabeberu wametugawa kidini wamefaulu tena wanatugawa kivyama itikidadi divide and Rule.Hakuna taifa lililoendelea limegawanya kidini na kiitikadi.mkisto kumuoa Muislamu ni vita kubwa sana.mbona USA UK Most EU India ,China, Iran,Saudi Arabia, Egypt.more than 80% either chama kimoja au dini moja.Tanzania tuna dini zaidi 2 basi tube na chama kimoja. Au tuwe vyama vingi dini moja huu ndio umoja kitaifa.tumechoka kugawanywa .mfano soma USA ,China na Japani
 
Ahaa haa
Nimefundishwa na classmate wa Michael Nelkon (sijui hata kama unamjua huyu ni nani!!?). Maana nyie tangu muharibiwe na mungai, hamjielewi.

alaaa!! Namjua yule! Alikuwaga mwizi wa ng'ombe kuleee mugumu......akenda jiunga Upe.
 
Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama

Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene

Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu

Imagine Kila project inaenda kijijini Chato

Imagine kila kizuri ni chato

Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu

Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto

Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi

Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana

Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee

Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali

Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!

Update kutoka kwa mdau

Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.

(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.

(6) Alikua mkabila sana

(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.

Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki

Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu

Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili

Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu

Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia

Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.

Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake

Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana

Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.

Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.

Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
Pumbu-Avu
 
Mwaandishi haujielewi wew mjinga sana. Dr.JPM alifuta ubaguzi, Baba CCM na Mama, CHADEMA mtoto CUF.Itikadi 3 tofauti,Ujamaa/ukomonisiti, ubepari na ulaiberiani.hivi JPM
aliona vigawa taifa. Mabeberu wametugawa kidini wamefaulu tena wanatugawa kivyama itikidadi divide and Rule.Hakuna taifa lililoendelea limegawanya kidini na kiitikadi.mkisto kumuoa Muislamu ni vita kubwa sana.mbona USA UK Most EU India ,China, Iran,Saudi Arabia, Egypt.more than 80% either chama kimoja au dini moja.Tanzania tuna dini zaidi 2 basi tube na chama kimoja. Au tuwe vyama vingi dini moja huu ndio umoja kitaifa.tumechoka kugawanywa .mfano soma USA ,China na Japani
ZAK ZAK wewe ndiyo hujielewi, Magufuli ndiyo alitaka kuharibu Nchi kwa kuleta ubaguzi wa kikanda na kiitikadi. Angalia alivyopendelea kuweka miundombinu ya Airport, referral hospital, mbuga ya wanyama Chato ambako hakustahili. Halafu angalia kauli yake aliyoitoa kwenye majimbo yaliuokuwa chini ya upinzani. Alikuwa anasema hawezi kupeleka miradi ya maendeleo kwa vile walichagua wapinzani kuwa wabunge.

Tunashukuru Mungu aliondoa ile TAKATAKA
 
Hii iliyopo ndo takataka kabisa! Wewe nikuulize ulitaka wajenge wapi?Dar au huko kwenu?Mpuuzi kweili!
 
Ninachoona nivile vile zanzibar hoyee .
Halafu kweli Samia kajitahidi huyu bibu sio nampenda hapana ila kaupiga mwingi.
Na sasa maisha yetu ninafuu kweli nilimpenda magufuli kwa moyo ila angeendelea narudia kila siku angeendelea kuongoza ningekuwa muhanga wa kifo ningekufa na presha kweli naapa sikuwa napumua anapelekesha watu hadi wahaliza chini.
Anadai tozo yeye hafuatilii watu wanakuja kioa kukicha kwako ofisini hadi unafunga wakitoka tra wanakuja halmashauri , halmashauri wanakuja tanapa kuangalia kama unaendeleaje na biashara yako.
Je unakidhi kuendeleza??
Nakumbuka zilifungwa tours nyingi sana Arusha nawengine walikufa napresha hoteli nyingi zilikufa pia kwa kushindwa kujiendeleza shule zakujitolea zilishindwa kuendelea kisa makato ya serikali yasioeleweka kila siku kuna jipya hadi shida sijui nani ameshtua round hii wapunguze kiasi fulani.
 
Hii iliyopo ndo takataka kabisa! Wewe nikuulize ulitaka wajenge wapi?Dar au huko kwenu?Mpuuzi kweili!
Kama kujenga Airport ya 3-Km runway kijijini Chato ni sahihi, nakubali kuitwa mpumbavu.

Ila mwenye àkili ukiitwa mpumbavu na asiye na akili unabaki kucheka na kufurahi tu. Nyie akina sambulugu wa darasa la 7 mnalàzimisha tu kuchangia hoja kwenye jukwaa la wasomi.
 
Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama

Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene

Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu

Imagine Kila project inaenda kijijini Chato

Imagine kila kizuri ni chato

Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu

Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto

Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi

Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana

Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee

Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali

Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!

Update kutoka kwa mdau

Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.

(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.

(6) Alikua mkabila sana

(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.

Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki

Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu

Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili

Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu

Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia

Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.

Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake

Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana

Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.

Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.

Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
Umeandika kwa hisia Kali mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
😅😅daaah
 
Nitakuamini tu kama watu waliomsindikiza kwenye safari yake ya mwisho walikua ni masanamu.
Na kama walikua ni watu kweli najiuliza wewe una matatizo gani.
 
Back
Top Bottom