Amerogwa huyu enzi za jiwe cement ilikuwa 15000 sijui anaongea ushudu gani huyu pimbi , halafu anashindwa kuelewa kwamba hizi ni domino effects pia za huyo mjinga wao aliyeharibu uchumi Kwa kiasi kikubwa , kiufupi Tanzania iko kwenye economic & financial stagnancy , Huu uchumi haukui Yale ya kujiita uchumi WA Kati ni kujilisha upepo Tu na kujimwambafai , Hali ya Umasikini unatisha nchi hii , watu wengi wanakula mlo mmoja Kwa siku muda mrefu Tu , na bado Yanayotokea Kule Srilanka , Lebanon ,Cuba, Zimbabwe , Venezuela NK kwenye mporomoko WA uchumi haikuwa suddenly ,ni mdogo mdogoCement 5000??
Labda MBUPU zako.