Awamu hii ndio awamu ambayo viongozi wa ngazi zajuu wamegeuka miungu watu zaid.

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
Nakumbuka mh.rais john pombe magufuli alikuwa akipinga sana swala la viongozi kuwa miungu watu

Lakini kinacho nishangaza zaid ni kwamba ,kwa sasa viongozi wa ngazi za juu yaani wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,wakurugenzi, na maofisa wa juu wengine ndio wamekuwa miungu watu kupita ule kawaida ,

Na wamekuwa wakiwanyanyasa sana walio chini yao hadi kufikia kuwatukana na kiuwadhalilisha tena wanayafanya hayo kwa kujiamini kabisa.

Sasa najiuliza tatizo hili tena limeanzia wapi!? Na kwanini hali hii kwa sasa ndio imekuwa too much zaid?
 
Back
Top Bottom