Awamu hii CCM wanachezeshwa ngoma wasiyoipenda

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Kikawaida ccm ndo chanzo cha yote hapa nchini na kamwe hawawezi kutetea kitu chenye maslahi kwa taifa Bali wao huangalia namna watakavyofaidika wao binafsi.

sasa mbaya zaidi muziki Wa Magu awamu hii wanadhindwa waucheze vipi! wamebaki wanaangalia magu anacheza kwaito au singeli au Zuku au........ na wao hukohuko.

teh teh teh teh! awamu hii watanyoka
 
Amebaki tu pole pole anatembelea kiki za Yohana!
Akifanya chochote na yeye anaitisha press conference
 
Back
Top Bottom