yunus jumapili
Member
- Jul 29, 2015
- 5
- 0
Member heshima yenu jamani,
Nahitaji kupata AVN kutoka NACTE ila mpaka sasa sijafanikiwa, nimefuata kama wanavyoelekeza katika link yao, naomba kwa aliye fanikiwa kwa mwaka 2019 au mwenye updates anisaidie please.