Aveva, uliahidi mechi tatu pointi tatu

..nasikia kuna simba UKAWA pia...wameahidi kuhujumu timu mechi na Stand jumamosi
 
Wasianze kutafuta visingizio! Stand United wamejipanga vizuri kumuadabisha Paka Pori wa Msimbazi, Nswa gogema iwe; ngosha kugema, ngosha kucha alile shangu na kunung'ha! Stand United nduhu kushoka numa giti ng'ana yatilukaga.
 
si ajabu hata hii mechi takatoa droo
 
si ajabu hata hii mechi tukatoa droo
Hata hivyo itakuwa afadhali kwenu, kwa jinsi stand united tulivyojipanga si ajabu leo mkapigwa si chini ya goli mbili kwa sifuri.
 
unaugusa mtima wangu niache nile pilau kwanz
 
Hata hivyo itakuwa afadhali kwenu, kwa jinsi stand united tulivyojipanga si ajabu leo mkapigwa si chini ya goli mbili kwa sifuri.
dua la kuku halikumpata mwewe
 
Mpk sasa SIMBA wana goli 4 na points 3!
Km M.kiti alisema goli 3 points 3, basi kafanikiwa kuvuka malengo!
 
Nendeni mkashiriki ligi kuu ya zanzibar mtawapata wa kuwafunga manake kule ndo waliko helua helua wenzenu...

hata ninyi sikilizieni leo muziki
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…