Avatar

Ikena

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2007
Posts
553
Reaction score
398
Kuna avatar nimeimiss ipo kama mwili wa mwanamke lakini ikachakachuliwa ikaonekana kama bouncer flan ivi.

Naomba mwenye nayo aniwekee tafadhali.
 
dahhh
jina la mtu mwenye hiyo avatar ni nani??
 
Kuna avatar nimeimiss ipo kama mwili wa mwanamke lakini ikachakachuliwa ikaonekana kama bouncer flan ivi.

Naomba mwenye nayo aniwekee tafadhali.

Au ile ya silent whisper?
 
Wapi wewe! huyu ukimtuliza ukimfikisha usawa wa dirisha hakuna cha ubodebyulda wala u-heviweiti!

siku mkigombana, huna bahati. Lazima akutoe ngeu. Ukimuoa nunua kwanza meno ya bandia. Mana lazima yakong'olewe tu.
 
siku mkigombana, huna bahati. Lazima akutoe ngeu. Ukimuoa nunua kwanza meno ya bandia. Mana lazima yakong'olewe tu.

sasa na wewe ukikubali kuwekwa kinyumba na huyu inabidi ujifunze kuwa mpole. ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…