We si unamjua maza alivyo noma na wewe nilikwambia nakwenda mnadani au ushasahau
Nikarudi nikapitia kwenye Busaa na Manguree pale kwa mama halimaa nikachelewa kurudi.
Nimeamka na kuoga na kukimbia kazini si unajua tena Idd karibu lazima kupiga kazi tupande angalau khanga ya Heri ya Idd
Poa basi usijali

mimi ya the priest inaniacha hoi...
Nlimwambia hiyo ya mnadani lakini alisema
mnada wa Kidarafa ni tarehe 17 ...
bado anakumbuka eti ..
Halafu anawasi wasi unapeleka piwa siku hizi...
maana alikuona unapepesuka na kibuyu cha maji..
ama Marko alimwambia maza ulikuwa kilabuni..
sasa Idd wapi ? au unakuja home...?

Husninyo....mbona siioni hiyo avatar yako?? au upofu unaninyemelea!!
HA ha ha ha mubaya wewe.
Halafu unajua ama abushiri alifariki last month???
Idd bwana si unajua mambo ya BE kakaba mpaka penalt??
Nitakula pilau home halafu nakwenda Dareda kule kwa hai shigai kanialika
hahaha.... haya bana..noted!angalia vizuri bana. Halafu wewe inabidi mkeo awe mfupi usimtoboe na hiyo pua.
kwani inakukwaza?Yaani utakuwa umenitengenezea siku yangu kwa leo...........................
ooohhh kweli Poleni sana
hiyo siku sikia alikuwa anatengeneza mlenda wa hatari ..
ntam miss kwa hilo....
mmmhhhhh
mwambie BE aache hivyo bana ..
Pilau tu dahhh idd yako itakuwa chachu kweli..
Karibu kwetu ...
Usinisahau kwa safari ya Dareda basi
nataka unidondoshe Bashnet ..
Ama nade amenialika katengeza Ilwa mamahai ....
kwani inakukwaza?
niweke ipi?

Naona tayari huu umeshakuwa msamiati!!

sijui kiswahili tunakipeleka wapi
Ha ha ha unakumbukumbu mtoto weye balaa ule mlenda sijui alikuwa anaweka nini aisee maana unakuta kwantee inateremka tu si mchezo
Ama Nade nae atapika pilau kweli maana mgumu kuchinja hata kuku yule.........
Poa nitamwambia BE apunguze geti kali ha ha ha
NB: Uchakachuaji wa thread ruksa
huh.................ke keeekekk keeke keeke kekeke kekeeeeekeKweli nimeamini sasa ukipendacho wewe wengine hukichukia. Na ukisema wa nini wengine husema nitampata lini.
Yaani hizo avatar zote nazichukia kuliko maelezo. Dahaa haya bana (Jamani msinitoe macho ndo navyojisikia)

sasa tugawiane basi Kinywaji ...
hata mi huwa avatar yako inaninyima raha, siipendi kabisa, badilisha basi!!!!!!!!!Mmmhhh maswali magumu hivi nilishaacha kujibu siku nyingi sana nikiwa shule.
Kwa heri.....................
Kuna Member anaitwa Karen_Happuch... Huyu dada nikimuona.. i always feel good..
yaani ana happy spirit fulani katika avatar ambayo hunifanya nikisikie kama i am really seeing the person behind...
Nzuri Baby nimekumiss sana aisee upo wewe.............................................