Avatar hii inatia kichefuchefu

Avatar hii inatia kichefuchefu

kwa mtoro avatar gani hio? mbona ziko nyingi kwa nini uchague hio?:twitch:
 
Tehe! Na ya huyo Joloe.. Ha ha ha... Inaumiza macho
 
Hahahahah mnanichekesha sanaa:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh: na avatar zenu
 
Nakushukuru mkuu kwa kuitoa avatar maana nilikuwa najisikia kutapika kila nikiumbuka avatar yako hasa wakati wa chakula...
 
dah bora umesema kuna kipindi Mgalanjuka alikuwa ananitisha na avatar yake nashukuru kaibadilisha na hatairudisha tena.
 
kuna avatar members wa JF anaitwa Kwa mtoro kusema kweli hii avatia inatia kicfefuchefu, kama unanisoma mkuu badili, sorry kama nimeingilia uhuru wako, i cant upload because it has invalid file extension....

Yaani afadhali hata na wewe umeona..... Nilishamwambia siku za nyuma kwamba picha yake inatisha. Yaani nilikuwa siwezi kusoma comments.......nikikutana nayo.......napitisha page mbio...mhh!!! naona sasa ameondoa.... afadhali kabisa....:clap2:
 
Nakushukuru mkuu kwa kuitoa avatar maana nilikuwa najisikia kutapika kila nikiumbuka avatar yako hasa wakati wa chakula...

Una mimba changa wewe, that why unasikia kichefuchefu ukiniona. Wameitoa picha yangu juu kwa juu. MOD, MOD? Niombe radhi.
 
Mbona Mkuu hujaiambatanisha hiyo avatar na ujumbe wako? maana hatuioni au imeshatolewa baada ya malalmiko yako?
 
nadhani ameitoa au imetolewa...maana mmhh hata mimi sikuwa naweza kutazama twice
 
Mbona Mkuu hujaiambatanisha hiyo avatar na ujumbe wako? maana hatuioni au imeshatolewa baada ya malalmiko yako?

Mkuu ilikuwa inatisha hata ukijaribu ku upload inasema it has an invalid file extension Mods wameitoa, NimeipendaSignature yako mkuu, Pamoja
 
Una mimba changa wewe, that why unasikia kichefuchefu ukiniona. Wameitoa picha yangu juu kwa juu. MOD, MOD? Niombe radhi.[/

usitake kuleta matusi hapa jamvini utapigwa BAN kama mjanja nipe email yako tukutane kwenye PM
 
Back
Top Bottom