Avatar hii inatia kichefuchefu

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,482
14,347
kuna avatar members wa JF anaitwa Kwa mtoro kusema kweli hii avatia inatia kicfefuchefu, kama unanisoma mkuu badili, sorry kama nimeingilia uhuru wako, i cant upload because it has invalid file extension....
 
kwakweli hii avatar hata mimi siipendi sijui unafaidi nini kuiangalia

Najua haivunji sheria yoyote ya jf isipokuwa hata mimi siipendi kabisaaa inanifanya nijisikie kinyaa, samahani mwenye avatar
 
nataman ningeiona lakin cm yangu haifungui.ni mbaya kwa maana ya kuwakilisha matusi au uvunjaji wa heshima?kama ni hivyo ni vema kubadilisha
 
kwakweli hii avatar hata mimi siipendi sijui unafaidi nini kuiangalia

sema wewe mkuu, maana watu wengine wana narrow mind, nimemwambia kwa uzuri na apology juu lakini anaanza kuleta maneno ya mitaani.. nakupa na thanks mzee
 
nataman ningeiona lakin cm yangu haifungui.ni mbaya kwa maana ya kuwakilisha matusi au uvunjaji wa heshima?kama ni hivyo ni vema kubadilisha

haina matusi wala haivunji heshima isipokuwa inakera jinsi ilivyo.jaribu kwenda ktk pc mode kwenye simu yako itaiona tu, usitumie mobile version tumia pc mode
 
nataman ningeiona lakin cm yangu haifungui.ni mbaya kwa maana ya kuwakilisha matusi au uvunjaji wa heshima?kama ni hivyo ni vema kubadilisha

Hello FL
Yaani hiyo avatar ni kama Chura anafanyiwa operation, jitahidi uione utaniambia
 
kuna avatar members wa JF anaitwa Kwa mtoro kusema kweli hii avatia inatia kicfefuchefu, kama unanisoma mkuu badili, sorry kama nimeingilia uhuru wako, i cant upload because it has invalid file extension....

Naungana na wewe mkuu..sioni mantiki ya picha hii,unajua huwezi kuchagua tu picha ukapachika bila at least kuwa na kitu unachotaka ku-infer...haifai mzee jaribu kubadili.Tafadhali.
 
sema wewe mkuu, maana watu wengine wana narrow mind, nimemwambia kwa uzuri na apology juu lakini anaanza kuleta maneno ya mitaani.. nakupa na thanks mzee

Itabidi uniombe radhi, hiyo avata ni picha yangu ya kiukweli ukweli kabisa. Narrow mind mwenywe. Chz ww, mbwegeeeeeeeee kbisaaaa
 
and Vice Versa

wakati unaingia humu JF ulisoma sheria na kanuni au ulikurupuka tu???
 
Back
Top Bottom