Avatar 2 dongle vipi?

Robert mp

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
200
Reaction score
21
Jamani hivi hizi dongle za avatar ndio zimefungwa?maana naona taa nyekundu inabring kama kawaida ila haifungui chanel zote ,si dstv wala my tv.anayejua kinaendelea nini anijuze maana sijui kinachoendelea.
 
sio avatar tu almost dongle zote zinazingua leo siku ya tatu ila nimesikia server ya G1 na azsky ita upgrade soon....so keep waiting man.
 
Kwahiyo mkuu unanishauri niendelea kuitunza ipo siku zitarudi?maana kuna mtaalam m1 aliniambia eti software imekwisha.nimetafuta sfw ila sijapata.na leo ni kama wiki 2 hivi avatar yangu haioneshi.
 
Same to me hawk haifungui scrambled wiki ya pili sasa..
 
Mkuu hawk ya dongle au hawk 7777 classic risiva(hii ni risiva inayotumia sim card)weka wazi.
 
Mkuu hawk ya dongle au hawk 7777 classic risiva(hii ni risiva inayotumia sim card)weka wazi.

Hiyo hiyo Hawk 7777 Classic nmeitumia mwez 1 tu!..sasa wk mbl haifungui scrambled channels..duh yaan nmeingia hasara tu hapa!.
 
Ngoja tusubiri kwani kuna mkuu mmoja alisema waizifungua tu.ila mwenzio avatar nimeona miezi mitatu sio hasara sana.
 
Jamani hivi hizi dongle za avatar ndio zimefungwa?maana naona taa nyekundu inabring kama kawaida ila haifungui chanel zote ,si dstv wala my tv.anayejua kinaendelea nini anijuze maana sijui kinachoendelea.
Yah kuna SW ambayo imetolewa, mimi nimeinunua hiyo SW kwa mshkaji China, nikaapgrade, avata 2 yangu...its working kama mweu, hapa naangalia Atletico Madrid na RSO man....kama ukiwa poa its 70,000/- nakutumia link una-upgrade mwnywe
 
Ngoja nijipange mkuu.na pia nikiupgred itafanya kazi kwa muda gani mkuu?au ndio miezi mitatu tena bac.
 
Yah kuna SW ambayo imetolewa, mimi nimeinunua hiyo SW kwa mshkaji China, nikaapgrade, avata 2 yangu...its working kama mweu, hapa naangalia Atletico Madrid na RSO man....kama ukiwa poa its 70,000/- nakutumia link una-upgrade mwnywe

Vp kuhusu hawk 7777 Classic unaweza kupata software yake ya ku upgrade?
 
Vp kuhusu hawk 7777 Classic unaweza kupata software yake ya ku upgrade?

Tajiri yangu uongo mbaya mimi nimekua nikitumia avatar, so ilipokua inazingua december mwaka jana ndo nikaanza kuifuatilia, baadae ikafunguka yenyewe, ila nikajulishwa mwezi wa pili mwisho...nikajipanga ilipoanza kuzingua mwz wa pili tu...nikawasiliana na jamaa ndo akanitumia nikaapgrade ndo natembea...
 
Mkuu ukiupgrade unaweza ukatumia kwa muda gani?maana kuna mwanajf alisema aliupgrade ikakaa wiki mbili ikazingua mpaka leo.mwongozo tafadhari.
 
jamani hapo hapo,nataka kuchakachua,ipi nzuri wandugu,hawk dongle au hawk 7777 classic receiver kwa ajili ya ku unlock pay tv?
 
Mkuu hiyo biashara ya kuniuzia link inafanyikaje?maana ss ndio naihitaji.ni pm pamoja na namba yako ili tufanye biashara ya hiyo software
 
Mkuu hiyo biashara ya kuniuzia link inafanyikaje?maana ss ndio naihitaji.ni pm pamoja na namba yako ili tufanye biashara ya hiyo software
mwana umekula peke yako weeee hadi yamekufika ndio unakuja kutuhabarisha?? ....... just joke
ee brooo kuna njia mbili za ku upgrade. utachagua rahisi kwako...
nakupa copy and paste kutoka kwa manufacture na jinsi ya kuupgrade. ukifanikiwa lete feedback usikimbie.... english ya kichina inakubidi uistahamilie tu...... tehe heeee
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD] Area: africa

production: dstv canalsat sks dongle

subscription/activation/renew have 2 way:
1--rs232 cable . inbuild encypt IC and special software . just need connect dongle with receiver ,then can work
2--by dongle’s serial key

subscription/active/renew model:
avatar 2 / strong 99x / strong 2012 / strong 4799 / hotbox 69.

subscription/active/renew time:
1--3 month (only serial key way ,have 3 months)
2--6 month

how to pay/buy subscription/renew/activte:
1--list out use which way do subscription:rs 232 cable or serial number way
2--list out how many quantity/country/city name . send inqurie email to info@sy-con.com
3--if by rs232 cable way,after customer paid/received goods . we will release related software ,and guide how to use .
if by serial number way ,after customer paid ,we will release related software . then dongle can work .

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Msaada jamani alie naujuzi wa kingeleza hicho unitafsirie ili niifanyie kazi.kwani mwenzenu elimu yangu ni darasa la wengi
 
Kununua Dongle kwa sasa ni pata potea maana wenyezao wana badilisha software kila wakati hivyo kufanya server za rafiki zetu wachico kushindwa kuhimili.
 
nmeckia kwa mtalaam 1 kuwa avatar inafanya kaz ila cgnal zpo yngne acha hii 12728 h 30000 nakuwa inafungua frsh dstv kama yako unauza 2fanye biashara
 
kwa jamani ukiwa na hiyo hawk 7777 au hiyo hawk dongle unaweza kufungua mpaka chanel za azam na zuku?? au ni dstv pekee??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…