Kijiko cha Jikoni
Member
- Nov 24, 2017
- 13
- 10
1. Gari ziko mkoa gani?Nina magari mawili yameanza matatizo kwenye uingizaji wa gia. Gari moja ni NOAH SR 50 4WD tulitoa driving shaft ya mbele ikabaki kuvutia nyuma. Baada ya wiki mbili ikaanza kugoma kuondoka hata ukiingiza gia kwenye D na baadaye ukiongeza moto inaondoka kwa kushituka.
Gari ya pili ni IST injini ya 2NZ. Niliipaki muda mrefu miezi sits hivi. Nilipojaribu kuweka gia ya reverse ikagoma kurudi nyuma. Mafundi wakafungua sampo na kusafisha filter wakarudisha transmission fluid ile ile gari ikakubali kuondoka. Baadaye sasa haibadilishi gia hadi nilegeze mguu kwenye moto ndipo inabadili gia.
Swali langu; 1. Nimebadili oil na kuweka iliyoandikwa kwenye deep stick lakini bado gia box zote mbili hazijatengamaa. Kuna njia nyingine?
2. Nimeambiwa nitafute oil inaitwa LUCAS TRANSMISSION FIX nitaipata wapi? Bei gani?
Naomba sana msaada wenu wana JF
Asante sana Mkuu KWA ushauri wako. Tuliondoa driving shaft ya mbele kwa sababu mafundi wa huku Tabora huwa wanaziondoa KWA lengo la kupunguza ulaji wa mafuta.
Pia spare parts za CV joint, cross bearing ya shaft za mbele na rubber boots zote ya nje na ya ndani KWA Noah SR 50 4WD hazipatikani Tabora, Nzega na Igunga hadi uende Kahama au Mwanza.
ingekuwa upo Dar hiyo Ist ningekurekebishia.
Ila ndio hivyo.
malipo ya ubahili haya.Tuliondoa driving shaft ya mbele kwa sababu mafundi wa huku Tabora huwa wanaziondoa KWA lengo la kupunguza ulaji wa mafuta.
malipo ya ubahili haya.
Nina magari mawili yameanza matatizo kwenye uingizaji wa gia. Gari moja ni NOAH SR 50 4WD tulitoa driving shaft ya mbele ikabaki kuvutia nyuma. Baada ya wiki mbili ikaanza kugoma kuondoka hata ukiingiza gia kwenye D na baadaye ukiongeza moto inaondoka kwa kushituka.
Gari ya pili ni IST injini ya 2NZ. Niliipaki muda mrefu miezi sits hivi. Nilipojaribu kuweka gia ya reverse ikagoma kurudi nyuma. Mafundi wakafungua sampo na kusafisha filter wakarudisha transmission fluid ile ile gari ikakubali kuondoka. Baadaye sasa haibadilishi gia hadi nilegeze mguu kwenye moto ndipo inabadili gia.
Swali langu; 1. Nimebadili oil na kuweka iliyoandikwa kwenye deep stick lakini bado gia box zote mbili hazijatengamaa. Kuna njia nyingine?
2. Nimeambiwa nitafute oil inaitwa LUCAS TRANSMISSION FIX nitaipata wapi? Bei gani?
Naomba sana msaada wenu wana JF.
Na codes zipo nyingi, ulisolve zote??View attachment 1680321
Mfano huyu gari yake inashtuka wakati wa kubadili gear. Nmepima leo nmekuta Solenoid ambayo ndio inacontrol pressure (SLT) ndio ina shida na ikaleta hiyo code P1760.
Lakini sababu za kushtuka huwa zipo nyingi.
Hapo codes zipo tatu tu aiseee...Na codes zipo nyingi, ulisolve zote??
Huyo jamaa nilimuunganisha na wewe nikampa namba yako hongera kwa kutatua shida yake maana alikuwa na kipele sanaView attachment 1680321